Baadhi ya wahitimu wa shahada ya uzamili katika fani mbalimbali wa chuo kikuu Mzumbe wakifuatilia hotuba mbalimbali zilizokuwa zikitolewa katika mahafali hayo leo jijini Dar
Bi. Suzani Mshekangoto (katikati, wa pili kulia) Afisa Habari wa Idara ya Habari (MAELEZO) akiwa na wahitimu wenzake akiweka sawa kofia yake mara baada ya kutolewa tamko la kutunukiwa nondozzz ya uzamili ya Biashara ya Masoko katika Chuo Kikuu Mzumbe leo katika viwanja vya Karimjee leo jijini Dar
Bi Changwa Mohamed Mkwazu na Suzan Mshekangoto wakipongezana mara baada ya kutunukiwa shahada zao uzamili katika Chuo kikuu Mzumbe leo jijini Dar es salaam.
Picha na Aron Msigwa - MAELEZO.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Huyo dada katika picha hiyo ya kwanza anafanana na Condoleza Rice! nilishaanza kufikiri alikuwa mgeni wa heshima Mzumbe!

    ReplyDelete
  2. Hizi nondozzz mbona zimekua nyingi?kila kukicha unasikia fulani kala nondozzz,wala hazina msimu,hivi kweli hizo nondozz zina maana kweli?au mazabe?zamani tulizoea msimu wa nondozz ni mmoja lakini sasa january nondoazz, feb nondozz march nondozz,aprill nondoz..........Dec, Nondozzz,hiyo mimi naona haija2lia,nondozz hazitoki hivyo.

    ReplyDelete
  3. PETER NALITOLELADecember 19, 2009

    NDUGUZANGUNI WATANZANIA, CHUO KIKUU CHA UNIVESITI CHA MUZUMBE KIKO JUU. WATU WAKE WANAWAKA KAMA MOTO. ONENI SASA NILIWAAMBIAGA MUPELEKE WATOTO WENU MUZUMBE LAKINI MUKAWA KICHWA NGUMU. SASA MATUNDA WA WANAMUZUMBE CHUO CHA ECONOMY KINAFANYA KAZI ZAKE. KWA HISTOLIA FUPI, CHUO KIKUU CHA MUZUMBE KIMETOA WATU MAHIRI SANA KAMA RAIS WA JAMUHURI YA TANZANIA
    JK KIKWETE
    PETER NALITOLELA
    HASHEEM THABEET
    JOHN MASHAKA
    ISSA MICHUZI
    MIZENGO PINDA
    ROSTAM AZIZI
    MOHAMED DEWJI
    SHIGONGO
    MISS TZ 2009 WA KULE MWANZA. HAWA NI WATU MAHIRI SANA KWENYE FANI ZAO AMBAO NI WATU WA ALUMNI WA MUZUMBE AMBAKO NIMEHACHA REKODI YA KUWA NA AKILI YA KIHISTOLIA YA TANZANIA

    ReplyDelete
  4. Mdau Peter Nalitolela umesahau kuwataja wahitimu wawili,Kanumba na Mr Blue.

    ReplyDelete
  5. Bw. Peter Nalitolela hebu tutumie picha wakati unakula Nondozzzz pale Chuo Kikuu cha Muzumbe University, najua wadau wengi wangependa kuiona ....Michuzi mpe nafasi mdau akutumiapo picha

    ReplyDelete
  6. 99.999999% ya watanzania wamalizao vyuo vikuu tangu nchi ipate uhuru wana matokeo yao yako hivi;-
    Politics A
    Theories A
    Innitiatives F
    Innovative F
    Creativity F
    Invention F
    kama kuna anae bisha aende supermarkets au madukani hadi sticks za kuchokonolea meno ni imported from abroad halafu geuza shingo tazama siasa hadi maprofesa wanakimbilia politics nenda vyuoni matutorior ni wakumwaga halafu wapo deep in sharrow...

    NONDO

    ReplyDelete
  7. Anony.Sat Dec 19, 12:54:00 PM, wewe husemi ila ndivyo.

    Hongera kwa kukupata NONDO ya research chuoni Mzumbe...

    ReplyDelete
  8. kweli yako mdau hapo juu,creativity 0 sio hata F!anyway mbona siku hizi wahitimu watu waima au ndio hawataki kutuachia viti sisi vijana jamani tutafanya wapi kazi sasa?au ndio kusema elimu haina mwisho?hongereni anyway!

    ReplyDelete
  9. PETER NALITOLELADecember 20, 2009

    WADAU PICHA ZA NONDO ZINAPIGWAGA NA WASHAMBA. MIMI SIYO MSHAMBA NA NINAJULIKANA NA WATU WAKUBWA TENA MAARUFU SANA.
    JK ANANIJUA, JOHN MASHAKA NI BESTI WANGU, MICHUZI NI RAFIKI WA KARIBU, ROSTAM AZIZI TUNAFANYA BIASHARA PAMOJA SASA NITAKE NINI TENA WAKATI TIMU YA MUZUMBE IMEKAMILIKA??? MSINITAFUTIE UBAYA

    ReplyDelete
  10. "halafu wapo deep in sharrow...", hope its just a typing error, manake kama umemaliza chuo na unaandika sharrow badala ya shallow ,kazi ipo!

    Pili, kwangu mimi tatizo hasa sio kuwa wasomi sio wabunifu, ila serikali yetu haithamini wabunifu, na kumbuka mbunifu sio lazima awe msomi,mtu yeyote anaweza kuwa mbunifu. Kuna mifano miwili mimi nneshuhudia, kuna mtoto mmoja ana miaka kama 16, yuko Masasi, mwaka huu tu mwezi wa nane,huyu mtoto alitengeneza "katapila" yale magari yakutengenezea barabara kwa kutumia zana kama miti, vichuma vya kuokoteteza na vikorokoro vingine na gari linatembea na linapiga mzigo, walimtoa kwenye gazeti lakini baada ya hapo huyu mtoto hakuna kilichoendelea. Kuna jamaa mwingine yuko pale manzese, huyu jamaa anatengeneza simu ya mkononi mwenyewe kwa kutumia vitu vya asili kama vifuu, majani na nyaya na simu inafanya kazi kama simu zote za mkononi, lakini huyu jamaa mbali ya kuandikwa mara kadhaa kwenye gazeti hamna hata aliyejitokeza kumuendeleza na bado anapigika mtaani na maisha ya kuungaunga,..so ndugu yangu, tatizo ni kubwa zaidi ya hilo, wabunifu wapo wengi sana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...