Picha na Aron Msigwa - MAELEZO.
Picha na Aron Msigwa - MAELEZO.
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Huyo dada katika picha hiyo ya kwanza anafanana na Condoleza Rice! nilishaanza kufikiri alikuwa mgeni wa heshima Mzumbe!
ReplyDeleteHizi nondozzz mbona zimekua nyingi?kila kukicha unasikia fulani kala nondozzz,wala hazina msimu,hivi kweli hizo nondozz zina maana kweli?au mazabe?zamani tulizoea msimu wa nondozz ni mmoja lakini sasa january nondoazz, feb nondozz march nondozz,aprill nondoz..........Dec, Nondozzz,hiyo mimi naona haija2lia,nondozz hazitoki hivyo.
ReplyDeleteNDUGUZANGUNI WATANZANIA, CHUO KIKUU CHA UNIVESITI CHA MUZUMBE KIKO JUU. WATU WAKE WANAWAKA KAMA MOTO. ONENI SASA NILIWAAMBIAGA MUPELEKE WATOTO WENU MUZUMBE LAKINI MUKAWA KICHWA NGUMU. SASA MATUNDA WA WANAMUZUMBE CHUO CHA ECONOMY KINAFANYA KAZI ZAKE. KWA HISTOLIA FUPI, CHUO KIKUU CHA MUZUMBE KIMETOA WATU MAHIRI SANA KAMA RAIS WA JAMUHURI YA TANZANIA
ReplyDeleteJK KIKWETE
PETER NALITOLELA
HASHEEM THABEET
JOHN MASHAKA
ISSA MICHUZI
MIZENGO PINDA
ROSTAM AZIZI
MOHAMED DEWJI
SHIGONGO
MISS TZ 2009 WA KULE MWANZA. HAWA NI WATU MAHIRI SANA KWENYE FANI ZAO AMBAO NI WATU WA ALUMNI WA MUZUMBE AMBAKO NIMEHACHA REKODI YA KUWA NA AKILI YA KIHISTOLIA YA TANZANIA
Mdau Peter Nalitolela umesahau kuwataja wahitimu wawili,Kanumba na Mr Blue.
ReplyDeleteBw. Peter Nalitolela hebu tutumie picha wakati unakula Nondozzzz pale Chuo Kikuu cha Muzumbe University, najua wadau wengi wangependa kuiona ....Michuzi mpe nafasi mdau akutumiapo picha
ReplyDelete99.999999% ya watanzania wamalizao vyuo vikuu tangu nchi ipate uhuru wana matokeo yao yako hivi;-
ReplyDeletePolitics A
Theories A
Innitiatives F
Innovative F
Creativity F
Invention F
kama kuna anae bisha aende supermarkets au madukani hadi sticks za kuchokonolea meno ni imported from abroad halafu geuza shingo tazama siasa hadi maprofesa wanakimbilia politics nenda vyuoni matutorior ni wakumwaga halafu wapo deep in sharrow...
NONDO
Anony.Sat Dec 19, 12:54:00 PM, wewe husemi ila ndivyo.
ReplyDeleteHongera kwa kukupata NONDO ya research chuoni Mzumbe...
kweli yako mdau hapo juu,creativity 0 sio hata F!anyway mbona siku hizi wahitimu watu waima au ndio hawataki kutuachia viti sisi vijana jamani tutafanya wapi kazi sasa?au ndio kusema elimu haina mwisho?hongereni anyway!
ReplyDeleteWADAU PICHA ZA NONDO ZINAPIGWAGA NA WASHAMBA. MIMI SIYO MSHAMBA NA NINAJULIKANA NA WATU WAKUBWA TENA MAARUFU SANA.
ReplyDeleteJK ANANIJUA, JOHN MASHAKA NI BESTI WANGU, MICHUZI NI RAFIKI WA KARIBU, ROSTAM AZIZI TUNAFANYA BIASHARA PAMOJA SASA NITAKE NINI TENA WAKATI TIMU YA MUZUMBE IMEKAMILIKA??? MSINITAFUTIE UBAYA
"halafu wapo deep in sharrow...", hope its just a typing error, manake kama umemaliza chuo na unaandika sharrow badala ya shallow ,kazi ipo!
ReplyDeletePili, kwangu mimi tatizo hasa sio kuwa wasomi sio wabunifu, ila serikali yetu haithamini wabunifu, na kumbuka mbunifu sio lazima awe msomi,mtu yeyote anaweza kuwa mbunifu. Kuna mifano miwili mimi nneshuhudia, kuna mtoto mmoja ana miaka kama 16, yuko Masasi, mwaka huu tu mwezi wa nane,huyu mtoto alitengeneza "katapila" yale magari yakutengenezea barabara kwa kutumia zana kama miti, vichuma vya kuokoteteza na vikorokoro vingine na gari linatembea na linapiga mzigo, walimtoa kwenye gazeti lakini baada ya hapo huyu mtoto hakuna kilichoendelea. Kuna jamaa mwingine yuko pale manzese, huyu jamaa anatengeneza simu ya mkononi mwenyewe kwa kutumia vitu vya asili kama vifuu, majani na nyaya na simu inafanya kazi kama simu zote za mkononi, lakini huyu jamaa mbali ya kuandikwa mara kadhaa kwenye gazeti hamna hata aliyejitokeza kumuendeleza na bado anapigika mtaani na maisha ya kuungaunga,..so ndugu yangu, tatizo ni kubwa zaidi ya hilo, wabunifu wapo wengi sana