
Baadhi ya wahitimu wa stashahada ya uandishi wa habari wakimsikiliza mgeni rasmi Katibu mtendaji wa baraza la habari Tanzania (hayupo pichani), Kajubi Mukajanga, wakati wa mahafali ya 15 ya Chuo cha Uandishi wa habari (DSJ) yaliyofanyika jijini Dar wikiendi hii. kutoka kulia ni Mwandishi chipukizi wa gazeti la Tanzania Daima, Juma Kasesa na wengine ni Yahya Masalah na Hamisi Ally. Picha na Fransis Dande wa Globu ya Jamii.
Hey Juma am happy for u and ur friends yaani Alhaji anakuwa proud kuona watoto wake kila mmoja yuko bize na kitabu. mungu awajaalie msiishie hapo break iwe ni Phd,
ReplyDeleteyour sister
Mtage
Yes Jibaba , Hongera sana Juma Kasesa, mimi nimefurahi sana kukuona mpwa unasonga mbele, safi sana, cause elimu haina mwisho, umenikumbusha enzi nzetu pale Mwongozo primary school.
ReplyDeleteAll the best, wape hi wakina Lumuli, Abilali, Kulwa na Doto, Stephan na washikaji wote wa primary, nawamisi sanaaaaaa
Godfrey
Juma Kasesa,hivi utundu wako umeacha? maana tumesoma wote mwongozo primary school nilikuwa darasa moja nyuma yako na pia tulisoma wote chuo msikiti wa mkwajuni.Anyway congratulation kaka,m/mungu akujaalie ufike mbali zaidi.Hivi Sheikh Awadh bado yupo hai? maana najua ni jirani yako hapo.Kila la kheri brother.
ReplyDeleteMdau Sweden.
What is Journalism? Journalism for who, what, why, when, where, how and probably which? From fire, drums, Acta Diurna to Blogging. A technological change for who? Hegemony and mechanical reproduction! ARM
ReplyDeleteJuma umenikumbusha mbali sana, kipindi cha Julius Vindura,Colleta,doto swedi nk nk. Mwongozo bwana
ReplyDeleteGodfrey uko wapi?
Lumuli