Baadhi ya wahitimu wa stashahada ya uandishi wa habari wakimsikiliza mgeni rasmi Katibu mtendaji wa baraza la habari Tanzania (hayupo pichani), Kajubi Mukajanga, wakati wa mahafali ya 15 ya Chuo cha Uandishi wa habari (DSJ) yaliyofanyika jijini Dar wikiendi hii. kutoka kulia ni Mwandishi chipukizi wa gazeti la Tanzania Daima, Juma Kasesa na wengine ni Yahya Masalah na Hamisi Ally. Picha na Fransis Dande wa Globu ya Jamii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Hey Juma am happy for u and ur friends yaani Alhaji anakuwa proud kuona watoto wake kila mmoja yuko bize na kitabu. mungu awajaalie msiishie hapo break iwe ni Phd,

    your sister

    Mtage

    ReplyDelete
  2. Yes Jibaba , Hongera sana Juma Kasesa, mimi nimefurahi sana kukuona mpwa unasonga mbele, safi sana, cause elimu haina mwisho, umenikumbusha enzi nzetu pale Mwongozo primary school.
    All the best, wape hi wakina Lumuli, Abilali, Kulwa na Doto, Stephan na washikaji wote wa primary, nawamisi sanaaaaaa
    Godfrey

    ReplyDelete
  3. Juma Kasesa,hivi utundu wako umeacha? maana tumesoma wote mwongozo primary school nilikuwa darasa moja nyuma yako na pia tulisoma wote chuo msikiti wa mkwajuni.Anyway congratulation kaka,m/mungu akujaalie ufike mbali zaidi.Hivi Sheikh Awadh bado yupo hai? maana najua ni jirani yako hapo.Kila la kheri brother.
    Mdau Sweden.

    ReplyDelete
  4. What is Journalism? Journalism for who, what, why, when, where, how and probably which? From fire, drums, Acta Diurna to Blogging. A technological change for who? Hegemony and mechanical reproduction! ARM

    ReplyDelete
  5. Juma umenikumbusha mbali sana, kipindi cha Julius Vindura,Colleta,doto swedi nk nk. Mwongozo bwana
    Godfrey uko wapi?
    Lumuli

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...