sauda simba akiwa na danny glover walipokutana
kwenye tamasha la majahazi zenji ambako alitambulisha sauti ya sauda kwa wadau
msanii sauda simba ameshatoa albamu yake


ya jazz inayoenda kwa jina la sauti ya sauda na nimeisikiliza. iko safi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. Michuzi tunaomba sampuli basi na sisi tuonje kidogo kabla ya kuanza kuisaka mitaani.

    Na sijui inapatikana wapi?

    ReplyDelete
  2. Mwalimu MkuuDecember 08, 2009

    Anko nanihii,

    Ujumbe huu umekuwa mzuri sana na mtu kama mie ambaye nimewahi kumuona Da Sauda aki-perform najisikia mwenye furaha kama kuna taarifa ya information juu ya upatikanaji wa hiyo Album (isiwe pyrate ya kukopi).

    Kwa anayefahamu..........

    ReplyDelete
  3. wacheki vijana wa Maximo hapa:
    http://www.youtube.com/watch?v=9Ila_r3CEwg

    ReplyDelete
  4. Yuuuuuuwiii, toto mwana! Mwanangu.

    ReplyDelete
  5. Jamani Sauda kaacha kazi Barrick?mambo ya habari vp?
    hv bado hajawa Mrs tu!!!sasa huu muziki ni kama kazi au kwa muda?

    ReplyDelete
  6. Ipige preview hapa hapa wadau tusikie!

    ReplyDelete
  7. .... ooohhh its the hottest beat in town ... an expression of talent and a captivating voice ....i just cant stop listening to it... guys out there get ur copy now and enjoy our tanzanian hot fusion...
    great work my dear...loretta dar!!!

    ReplyDelete
  8. hongera dada,

    ReplyDelete
  9. hongera sana Sauda

    ReplyDelete
  10. Sauda Simba, kusema kweli kipaji unacho dadangu, huwa unanifurahisha sana hasa pale anapokuwa MC, manake huwezi kuboreka , hata kwenye movie ulikuwa unafanya vizuri sana ila sikuhizi huonekani sijui kulikoni, i'm wishing you all the best on your new album

    ReplyDelete
  11. She has this natural beauty.

    ReplyDelete
  12. huyu dada ana heshima sana na mwenye busara mno hana makuu mdau hapo juu huyu dada ni mrs siku nyingi tu tangu yupo itv ni mtaratibu mno mcheshi mie namzimikia saaana dada sauda Mungu azidi kukupa hekima

    ReplyDelete
  13. safi sana hii...wadau wamekuwa positive sikuhizi hii inatia raha sio kilakitu watu wawe negative tu...

    mike chuma DK

    ReplyDelete
  14. Wabongo wabwana tuna matatizo. Eti bado hajawa Mrs tu. Hii ina uhusiono gani na kazi zake za muziki (usanii)? Kuwa au kutokuwa Mrs hakumzui mtu kufanya kazi za kisanii.

    ReplyDelete
  15. kitu kikiwa kizuri watu watasifia tu,hawawezi kusifia uozo,dada sauda tangu anasoma taarifa ya habari ya kiingereza itv utajua tu huyu dada kasoma na ana heshima na kipaji na kazi yake...SHE IS A CLASSY LADY

    ReplyDelete
  16. Mh....what a carreer change.

    ReplyDelete
  17. saafi sana dada. natumai utatuburudisha live hivi karibuni, for the time being mwenye kujua wapi tutaipata hio album atujulishe. Mngeiweka sehemu kama novel Idea, TPH bookshop, Epidor na Cafe X itakua rahisi kwa wadau wa Jazz kuipata.

    ReplyDelete
  18. mdau Wed Dec 09, 04:40:00 PM kiinglish ni lugha za watu...

    ndo maana yake kubadili kazi,ukiwa na elimu waweza fanya lolote na ukarudi tena kazi za matawi vilevile ukaendelea tu,na usanii nk

    ila sijawai fikiri uyu dada anaimba/msanii wa mziki

    ok so far so good

    ReplyDelete
  19. Mwalimu MkuuDecember 10, 2009

    Sasa wewe Sauda (Tarehe Tue Dec 08, 11:50:00 PM) mbona hizi raha unataka kula mwenyewe tuu. Si tumeomba tuelezwe zinapatikana wapi? na nani msambazaji ili nasiye tufwauduuu.....

    Kha... mbona mwajipenda wenyewe tuuu, na siye tunayo haki ya kufwaudu utamu wa muziki toka kwa State-of-the-art artist............. truly nawaambie ukisikia Da Sauda Simba ana-perform sehemu usiache kwenda kama uko karibu maana u wili neva rigreti.

    Tunanunua wapi CD hizo wajame mwe!?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...