Home
Unlabelled
sauti ya sauda iko mitaani tayari
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi tunaomba sampuli basi na sisi tuonje kidogo kabla ya kuanza kuisaka mitaani.
ReplyDeleteNa sijui inapatikana wapi?
Anko nanihii,
ReplyDeleteUjumbe huu umekuwa mzuri sana na mtu kama mie ambaye nimewahi kumuona Da Sauda aki-perform najisikia mwenye furaha kama kuna taarifa ya information juu ya upatikanaji wa hiyo Album (isiwe pyrate ya kukopi).
Kwa anayefahamu..........
wacheki vijana wa Maximo hapa:
ReplyDeletehttp://www.youtube.com/watch?v=9Ila_r3CEwg
Yuuuuuuwiii, toto mwana! Mwanangu.
ReplyDeleteJamani Sauda kaacha kazi Barrick?mambo ya habari vp?
ReplyDeletehv bado hajawa Mrs tu!!!sasa huu muziki ni kama kazi au kwa muda?
Ipige preview hapa hapa wadau tusikie!
ReplyDelete.... ooohhh its the hottest beat in town ... an expression of talent and a captivating voice ....i just cant stop listening to it... guys out there get ur copy now and enjoy our tanzanian hot fusion...
ReplyDeletegreat work my dear...loretta dar!!!
hongera dada,
ReplyDeletehongera sana Sauda
ReplyDeleteSauda Simba, kusema kweli kipaji unacho dadangu, huwa unanifurahisha sana hasa pale anapokuwa MC, manake huwezi kuboreka , hata kwenye movie ulikuwa unafanya vizuri sana ila sikuhizi huonekani sijui kulikoni, i'm wishing you all the best on your new album
ReplyDeleteShe has this natural beauty.
ReplyDeletehuyu dada ana heshima sana na mwenye busara mno hana makuu mdau hapo juu huyu dada ni mrs siku nyingi tu tangu yupo itv ni mtaratibu mno mcheshi mie namzimikia saaana dada sauda Mungu azidi kukupa hekima
ReplyDeletesafi sana hii...wadau wamekuwa positive sikuhizi hii inatia raha sio kilakitu watu wawe negative tu...
ReplyDeletemike chuma DK
Wabongo wabwana tuna matatizo. Eti bado hajawa Mrs tu. Hii ina uhusiono gani na kazi zake za muziki (usanii)? Kuwa au kutokuwa Mrs hakumzui mtu kufanya kazi za kisanii.
ReplyDeletekitu kikiwa kizuri watu watasifia tu,hawawezi kusifia uozo,dada sauda tangu anasoma taarifa ya habari ya kiingereza itv utajua tu huyu dada kasoma na ana heshima na kipaji na kazi yake...SHE IS A CLASSY LADY
ReplyDeleteMh....what a carreer change.
ReplyDeletesaafi sana dada. natumai utatuburudisha live hivi karibuni, for the time being mwenye kujua wapi tutaipata hio album atujulishe. Mngeiweka sehemu kama novel Idea, TPH bookshop, Epidor na Cafe X itakua rahisi kwa wadau wa Jazz kuipata.
ReplyDeletemdau Wed Dec 09, 04:40:00 PM kiinglish ni lugha za watu...
ReplyDeletendo maana yake kubadili kazi,ukiwa na elimu waweza fanya lolote na ukarudi tena kazi za matawi vilevile ukaendelea tu,na usanii nk
ila sijawai fikiri uyu dada anaimba/msanii wa mziki
ok so far so good
Sasa wewe Sauda (Tarehe Tue Dec 08, 11:50:00 PM) mbona hizi raha unataka kula mwenyewe tuu. Si tumeomba tuelezwe zinapatikana wapi? na nani msambazaji ili nasiye tufwauduuu.....
ReplyDeleteKha... mbona mwajipenda wenyewe tuuu, na siye tunayo haki ya kufwaudu utamu wa muziki toka kwa State-of-the-art artist............. truly nawaambie ukisikia Da Sauda Simba ana-perform sehemu usiache kwenda kama uko karibu maana u wili neva rigreti.
Tunanunua wapi CD hizo wajame mwe!?