MPIRA UMEKWISHA NA YANGA YAIBUKA NA USHINDI WA BAO 2-1 DHIDI YA SOFAPAKA YA KENYA UWANJA WA NESHNO YA ZAMANI NA KUNYAKUA UBINGWA WA KOMBE LA TUSKER CUP.
MSHAMBULIAJI GERRY TEGETE AMETEULIWA KUWA MCHEZJI NA MFUNGAJI BORA BAADA YA KUPACHIKA MABAO 6 KWENYE MICHUANO HII.
*YANGA INAZAWADIWA KOMBE NA SHILINGI MILIONI 40
*SOFAPAKA INAAMBULIA MILIONI 20
*SIMBA INAPEWA KIFUTA JASHO CHA MILIONI 10
FFU WANAINGILIA KATI WAKATI WACHEZAJI WA SOFAPAKA WANAPOMZONGA REFA NA KUTAKA KUMPIGA. MPIGA PICHA MUHIDIN SUFIANI ANAPIGWA NA MCHEZAJI NAMBA 12 WA SOFAPAKA. GARI TANO DEFENDER ZA FFU ZIPO UWANJANI, NA GARI LAO LA MAJI YA KUWASHA LIKO MKAO WA KULA....
MWALI ANAFUNULIWA TAYARI KUGAWIWA.....
YANGA OYE!
TANZANIA OYE!
hureeeee yanga oyeeeeeee
ReplyDeletehama kweli simba na paka wote ni wanyama ila kwa ubinadamu na busara za watoto wa africa haiwezekani mnyama atawale binadamu hiyo ni ndoto Yanga oyeeeeeeeeeeeeeeee simba, dalali.kadu pamoja na huyu paka hongerakwa kushiriki hasante misuop kwa up date zako ubarikiwe.
ReplyDeleteMambo si hayo bwana.... Raha ya Nyama ya simba lazima uile na chachandu..... Watani muuuupo??? japo mlikuwa mnatuombea mabaya lakini akhaaa Jangwani tunapeta.... hao sopafanga wamevamia maji wasoyaweza.. Shukrani MR. MISUPU kwa taarifa maridhawa.. Mdau Ugaibuni.
ReplyDeleteYanga OYeeeeeeeeeeeeee,daa na hiyo nguvu irudi ligi ya bara.
ReplyDeleteYanga mnanilisha Bata ugaibuni.
Haya ndio mambo ambayo watanzania tunapenda tuyaone na kuyasikia, sio mpira uchezewe kwetu na kombe tunyang'anywe! Yanga kwa kweli mmeonyesha mpira mzuri tena wa kujituma ile mbaya! Duh sifa kwa kocha na wachezaji wote kwa ujumla! Mimi ni SImba but kwa mpira niliouangalia kweli kiwango cha Yanga kipo juu sana kwa sasa na wahenga wanasema "MNYONGE MNYONGENI LAKINI HAKI YAKE MPENI" Yanga mnatisha aiseee! Hongera TANZANIA
ReplyDeleteMama Msuya
Yanga ninashukuru kwa zawadi ya Xmass na mwaka mpya, maana mkiamua kucheza mpira hakuna timu Tanzania inayowafikia ila mkiamua kuuza sura ndio vile tena kila kukicha mnaishia kuwa mshindi wa pili au watatu, ila mwaka huu mkaamua kombe liende jangwani na limeenda naomba muanze mwaka kwa kasi na mwendo huo huo. Yanga Imara, watoto wa mnatisha kwa kabumbu tanzania mpaka nchi jirani. sasa mechi imeisha sio tuanze kusikia vichwa vya habari mkiparagana kwa mln. 40 na kusahau kabumbu.
ReplyDeleteHiyo tunajua Yanga wamebebwa refa alikuwa wenu, hilo tunajua michuzi hatasema kwani naye ni mnazi wa yanga, kwenye league ya bara mtaendelea kula vichapo tu
ReplyDeleteAmeshindwa Simba, ataweza Paka?! Inahuu!? Yanga tumekuja kivingine mwaka huu.
ReplyDeleteHongera sana Yanga, ushindi wenu ni muhimu sana kwa ushindani wa soka Bongo ukitilia maanani Simba wamekuwa wakishinda hili Kombe mara kwa mara!
ReplyDeleteBurton Mahenge Hoyeeeeee!
ReplyDeleteDuh...sasa FFU na mabunduki kusindikiza waamuzi ndio nini? Utafikiri nchi iko vitani bwana..!!
ReplyDeleteAs a Yanga legend Leodgar Tenga has all reasons for the wide smile in the background. He was my icon too - with the Juma Pondamali between the posts, the great Jellah Mtagwa and Juma Shaaban at the back their defence was impermeable. Are we seing those glorious days crawling back to us? The answer is probably "yes" and I will have to dig up my yellow and green card from somewhere.
ReplyDeleteOn behalf of my younger brother (a die-hard Yangan) I congratulate you guys and really feel pround of you.
Dar Young African Juu kama nyota na mwezi.
ReplyDeleteThey played well nani anabisha Simba oh refa IoI Jamani refa ndio alifunga au Shamte Ali na Tegete mmepewa tuta bado tu...mtaishia hivyo hivyo ndio tumeanza hivyo.
Dar Young African Imara Tutakufikia -:)
WADAU NAOMBA MNISAIDIE SIKUBAHATISHA KUIONA HII MECHI LAKINI NASIKIA USHINDI WA YANGA ULIKUWA NA UTATA, UTATA UPO WAPI? WALIPEWA PENALT? WALIOTEA? AU WALIFUNGA KWA MKONO? NAOMBA UFAFANUZI PLZ.
ReplyDeleteHongera Yanga na wadau woote popote mlipo....Big up kwa Saleh Njaa, Burton Mahenge, Wilbert Mahenge najua mmefutwa machozi ya miaka mitatu mlifungwa na Simba kwenye fainali za Tusker~!
ReplyDeleteYanga iko juu bwana. Hivi wewe michuzi si ndiyo uliandika misifa kibao kwa hao mapaka na kwamba wanatokana na kanoisa la kilokole? Sasa mbona wanaleta fujo kinyume na ulokole? Hao uliowasifia wanstahili hizo sifa kweli?
ReplyDeleteYanga Yanga Yangaaaaa Iko Juu iko juu, juu,juu
Mmmh! Nyama ya Paka si tamu hivyo kama ile ya Simba!!!
ReplyDeletehongera Abdi tokea enzi zile kisiwanduiiiii
ReplyDelete