

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
jamanimnaonaje na popatlal pamoja na usagara na sisi tukaandaa reunion?? nipeni maoni watu wa waja leo waondoka leo yakheeee
ReplyDeletenaku seushi,waiting for u darling,i real want to see that fab wedding.
ReplyDeletewow nakuona mzee Abedi Mtezo (mzee Thind mwenyewe alikuwa anaita "Matezo") umechill hapo picha ya chini kabisa.
ReplyDeleteWapi dadaa Sekosia Tingitana? Nyie wawili mlikuwa hamuivi chungu kimoja.
picha ya saba kutoka juu,huyu sio godi katula,alikuwa akiishi morogoro
ReplyDeleteKumbe ndomana wanapeana nafasi za kaziiiiii.. Hizi sura kumbe zimesoma pamoja wengi ndio zipo kwenye KIla eneo muhimu hapa TZ.
ReplyDeleteSafi sana
ReplyDeleteNa sisi wa Shaaban Robert jamani tuandae ya kwetu.
Ni vizuri zikapatikana couples kabisa itapendeza sana! kifupi mi sijasoma mzizima, ila jamaa walikua jirani zangu kila tukienda Tanganyika tunakatiza pale tunatokea Zanaki haoo Tanganyika, na kurudi unapitia hapo haoo Azaboy. Wana Azania itabidi tufanye mpango tuanzishe kitu kama cha mlimani Alumni wale wapo mbali zaidi ila hawa watapaa haraka. Kila la kheri wana Mzizima ila kama alivyosema ticha wenu waalimu jamani ni tatizo kubwa sana yaani shule hizi(si mzizima pekee) hazina walimu wa uhakika wa Advance secondary hasa wa masomo ya sayansi ni ishu kubwa sana kwa sasa. Yaani kupata mwalimu atakaye kaa mwaka mmoja imekua ni ishu vijana hatutaki kushika chaki kabisa. Naomba hii iwe sera ya uchaguzi kwa mwaka huu huenda angalau ikapunguza makali ya uhaba wa walimu wa Advance secondary wenye sifa.walimu kama Mama Shija, Soo Much, Busanji,Babu Mrisho, Wibonele, Makumaku, Mkandawile,mzee Kazibure(marehemu)wanapotea na warithi wao hamna kwa sasa.Nini kifanyike?
ReplyDeletejamani wa zanaki tufanye basi re union yetu this summer, am in Uk but nitasafiri for that! please
ReplyDeleteJamani mi naona tufanye ya wote tuliosoma tution kwa mwalimu Ndossi Muhumbili Primary School,ni wazo tu.
ReplyDeleteheee weee wa muhimbili pr school na zanaki mmenikunaaaaaaaa!!!mweee mwl ndosii ivi yuko wapi now?nilimaliza 90's......
ReplyDeletehahaahahaa,kazi ni kupeana tuuu hujui hilo???
THE CHOSEN FEW: This is a late posting but only becasue I was hesitating tossing it about. The proud admission of the assistant heatmaster made me look back to a recent survey I read in the papers. The survey, conducted in the UK showed a strong correlation between family status and career destinations. The Mzizima re-union and the headmasters comments almost confirmed the long-standing belief that MZIZIMA was/is a place for the chosen few. The hypothesis here is that many years Mzizima has been "naturally" marginalising competitors from other schools with respect to access to higher education. Consequently, its alumni are more likely to land lucrative jobs in promising and prestigious careers such as medicine and law and least likely to fail in life (Ass. Headmaster et al., 2009).
ReplyDeleteI must make it clear that I am not envious of Mzizima's achievement nor that of its alumni. I am only highlighting the plight of millions of children who due to their families background start off from low quality schooling environment and drag on through poorly equipped schools into less promising careers. Compare these to those kids taking off from posh nurseries through well-equipped schools and end up as lawyers and surgeons. Again, please do not shoot me down, I was only thinking aloud and proposing a potential social science research topic to dispel a rumour (which I am starting now) that 95% or registered lawyers and medical graduates either went to Mzizima, Shaaban Robert or Feza.
jamani sijaona mzizima 93 mboraweje ...zegirl she got the face next time i will be zea
ReplyDeleteWOW... Mt Thind, Mr Champs.. omg.. this reminds me back in the days. Graduated Mzizima in 1994 and left to USA never return ever since. I am graduated wt BA in USA. So so proud of Mzizima, it helps me a lot not only in my English ability but also in other studies. Love u Mzizima always...
ReplyDeleteHamida
hi does anyone remember mr dsouza? he was d principal after mr. thind......is he still there?
ReplyDelete