Duka jipya la viatu vya kinamama limezinduliwa usiku wa kuamkia leo mitaa ya sea view jirani na sheli ya BP, nyuma ya fleti baada ya lile la mzee nanihii.
mgeni rasmi akikata utepe kufungua duka hilo la mjasiriamali olivia (mwenye bluu)
vifijo baada ya mgeni rasmi kukata utepe

champeni ziliripuka
chiazzzzz kwa kwenda mbele.
taswira zaidi na habari
pia

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Michuzi umechemsha, Olivia atakuwaje mgeni wa heshima wakati ni duka lake mwenyewe, siilewi hii haijatulia kabisa.

    ReplyDelete
  2. Hi the Lady was not in a Blue dress. She was wearling a purple,dress. Thks.

    ReplyDelete
  3. dada mwenye nguo nyeusi!!!! ahhhhhhh mmmmmmm!!!!

    ReplyDelete
  4. dada nguo yako nyeusi nimeipenda..umenunuwa wapi? mmmmmhhh mtihani

    ReplyDelete
  5. karibu ya flati ya che ben nkaa hapa
    habari cholero chombone

    ReplyDelete
  6. Benny Mkanzabi Houston is not the same without you! nimemiss michapo yako!!!

    ReplyDelete
  7. Ben unapenda kweli mambo hayo...i see u poping da' champaigne. Ben natafuta msimamizi wa HARUSI LOL!!!Guess ?.....DC

    ReplyDelete
  8. Congrats best.
    Tilda./

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...