Home
Unlabelled
mpambano dhidi ya UKIMWI yashamiri pemba
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
WHO WILL NEVER DIE?? WHO WILL LIVE FOREVER?? WHAT WILL KILL?? IF NATURAL WE WILL ALL DIE WITH AIDS JUST BECAUSE OUR IMUNE SYSTEM WILL FAIL TO SURPORT OUR LIFE THAT IS THE SAME EAY ADAM AND EVE DIED. IF NOT MY ANT PHYSICAL CATASTROPHY, AIDS IS WHAT HAS BEEN KILING US
ReplyDeleteMichuzi sasa hii kali,hili bango liko Pemba sehemu ambayo asilimia 95% ni muslims na ndoa ni wake 4 sasa huyu muoaji akipima mara kumi na mbili ndani ya wake watatu atakutwa salama kweli?iweke hii ijadiliwe japo nisijeonekana nakwenda kinyume na dini ya kiislamu!
ReplyDeletena hayo ndio maadili ya mwafrika aliyeerevuka...
ReplyDeletemimi nitakuja hapo kwa vikesheni yangu hivi karibuni nina vyeti vya ndoa vinne! kwani nimeoa wamama wanne na kila nikisafiri nakuwa nao, sasa nauliza kama inaruhusiwa kwa mpigo nikiingia nao!! kwani wote wanavyeti!!!!! alafu sote twakaa chumba kimoja kwani mimi na wake zangu ni mwili mmoja!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteMdau makame!
PLEASE TELL ME, MLENGWA HAPO NI NANI MGENI MPEMBA AU MGENI KUTOKA NJE YA PEMBA?
ReplyDeleteVIPI WALE WAZUNGU WANAOFURIKA KWENYE BEACH ZA PEMBA WANAKUJA NA HATI ZA NDOA KWELI? I DOUBT.
IT'S A GOOD EFFORT HATA HIVYO MARA NYINGI HII HUWA KAMA CHANGA LA MACHO VILE KUONYESHA KWAMBA WANAFUATA TARATIBU LAKINI KINACHOFANYIKA NYUMA YA PAZIA NI MUNGU TU NDIYO ANAJUA.
Ni kweli lakini mara nyingi huwa ni changa la macho kuonyesha kwamba anafuata taratibu lakini yanayofanyika nyuma ya pazia ni mungu tu ndiyo anajua
hahaha! so you're telling me MARRIAGE will help reduce AIDS? This is complete and utter bs.
ReplyDeleteWhat is the point of getting married if you’re going to cheat after a few years anyways?Bora ukae single ukipata ukimwi ujifie mwenyewe kuliko kurudi home kumuambukiza mama watoto na watoto wote ambao utazaa nae. If you’re not married and you’re having unprotected sex then at least the only person you’ll be taking with you to the grave is your lover, and not your whole family.
Wangapi humu kwenye blogu wanakujaga kuomba ushauri about nyumba ndogo? Bongo watu wakishafunga ndo after 1 or 2 years the husband (not always but most of the time it is the husband) begins to lose interest na mimacho inaanza kutafuta the next hot piece. If you can’t keep it in your trousers and can’t commit yourself to one man and one woman only, then do not get married.
Sasa marriage certificate itabidi zije in wallet size??utembee nayo just in case people want to prove you’re married. The only way to get rid of AIDS is to educate ourselves.Change behaviour not the system. If marriage were the key to ending the spread of AIDS mbona bongo kungekuwa hamna UKIMWI maanake bongo kwa maharusi..every single day. This blog alone is proof. Wedding photos galore every weekend!
safi sana kaka mithupu nilivyoelewa mimi huko zenji YES maana yake NO
ReplyDeletewamesahau kuandika na kila mwanaume ahakikishe usiku anachunga mke wake sio leo kala kwa bi mkubwa kesho kwa bi mdogo na keshokutwa kwa bi wa kati
ReplyDeletehabari ya kutembea na cheti cha ndoa kama kitambulisho wala haiji, kingekua kidogo kweli, tatizo ni kirefu kuliko hata karatasi ya A4, kukibeba ni kazi.
ReplyDeleteKuna njia nyingi za kuzuia kusambaa kwa Ukimwi, hii ya kutembea na vyeti vya ndoa wala sioni kama inafaa, maana kama mtu ameamua kufanya sio lazima hotelini!
Kuzuia watu sio suluhisho zuri kama kuwaelimisha watu ubaya wa jambo hilo halafu wakatumia akili kuamua wenyewe.
Mchangiaji wa tatu ndo umeanza kwenda nje ya dini ya kiislamu coz hko ni waislamu wengi, any way UKIMWI hautozuiliwa kwa mabango, tuwachukulie hatua kali kwanza wazinifu wote, tuone km utakuepo huu.
ReplyDeleteBinadamu bwana daima atatetea uvivu,anasa, na vile vyote anavyovipenda.
ReplyDeleteSasa aliyetuumba anatujua vizuri.Anafahamu kama tutajidai kujua kwingiii, na hoja nyingiii ambazo mwisho ni pumba tupu.
Ndio maana M/Mungu akaleta sheria za kukimbizana na sisi.
1.Umeiba - kata mkono.
2.Umezini - bakora 100, piga mawe.
3.Shoga/Basha - Angushia kiambaza.
n.k
Zingekuwa zinatekelezwa hizi tungeona kama idadi ya watoto wa mitaani ingekuwa kama ilivyo leo, au watu wangevua sarawili na gagulo za hovyohovyo kama tuonavyo leo?
Au mtu kujisifu mtaani/hadharani kwa vitendo vyake vya zinaa.
Ukitaka kujua ubaya wa zinaa vuta fikra ya mtu anamzini mama,shangazi,dada au binti yako.
Au kamuulize mzee ambaye binti yake mpenzi kashapachikwa mimba ya off - side.
Hata tusemeje, ukweli unabaki kuwa zinaa haipendezi na inadhalilisha.
Mndengestan
Wadau, huo ni ujumbe au tahadhari mbona mmekuja juu hivyo? hata wengine wakina mama na watoto wao pia wanashangaza kuchukizwa na kuambiwa waende na vyeti vya ndoa..kha!... akili ni nywele na kila mtu ana zake... kama wewe unaona ni bora usioe ili ufe na ukimwi mwenyewe hayo ni maamuzi yako!. Na hii inaonyesha jinsi UKIMWI unavyoenezwa kwa Ngono!.Tutakufa wote tusipoangalia.
ReplyDeleteKuulizwa tu cheti cha ndoa imekuwa nong'wa kama hutaki si usiende pemba tu! ebo mbona kero hivyo na tabia zenu za kupenda zinaa!.. Ukimwi unaua... chukua tahadhari!
Nakumbusha tu, najua english sio lugha yetu, lakini kabla ya kuingia gharama kuweka mabango na kuchora kuta kwa rangi, ningesisitiza tuzingatie jinsi maneno ya kingereza yanavyo andikwa. Kuna sehemu imeandikwa UNMARIED badala yta UNMARRIED, ni hayo tu.
ReplyDeletehuu ujumbe kwa kiingereza haueleweki.anauelewa yule mtu ambaye anafahamu kiswahili kisha akatafsiri kiswangereza.
ReplyDeleteNOT ALLOWED TO ENTER WITH UNMARRIED MAN OR WOMAN!=hairusiwi kuingia na mwanamume ambaye hajaoa au mwanamke(ambaye hajaolewa).
hii sio lugha sahihi iliyoandikwa ktk bango.labda wangeandika NOT ALLOWED TO SHARE ACCOMODATION IN OUR HOTEL WITH A PARTNER WHO IS NOT YOUR SPOUSE(WHO YOU ARE NOT IN MATRIMONIAL BOND), au PARTNERS WHO ARE NOT IN LEGAL MATRIMONIAL DOND ARE NOT ALLOWED TO SHARE ACCOMODATION IN OUR HOTEL.
yani nimecheka mimi leo,,, na kila nikikumbuka tu aya matangazo sina mbavu,,,
ReplyDelete1.kweli kiswahili kigumu
2.utamaduni huu mwisho
3.zenji nina wasiwasi nao na ubongo zao
4.sasa tusio na marriage certificates je?mf.ndoa za mkeka,kimila,wachumba nk
5.mweeeeeeeee
annon "my two centes" looooolzz
ReplyDeleteumenivunja mbavu khaaa umewaza mbali sana
hahahahaaa,,,sijui izi ndoa za nn kwakweli kazi kuuana tu