Ankal,
Wadau ambao wamekuwa wakiulizia ni wapi pa kutizamia au kufuatilia hizi mechi za CAN 2010 LIVE online, yeyote anayetaka anawea kusaula kwenye msururu wa linki zipo hapa:
http://bit.ly/93dI2z
Zipo links za video na text kwa wale
ambao hawawezi ku-stream live videos kwa sababau mbalimbali
Subi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Au...download software inaitwa 'Sopcast' halafu tafuta hii channel 'Public Sport 1 - min upload to watch 350 Kb/s '
    Wao wanachukua Eurosport.. ni clear kama Tv. kama una bandwidth kuanzia 350 kbps.
    1, haikati
    2, haina matangazo
    3, haina pop ups

    ReplyDelete
  2. Mdau hapo juu..shukrani kwa lini....ipo poa sana.

    ReplyDelete
  3. Asante dada Subi Nukta kwa jitihada. Hakika umetufaa wengi.
    Ubarikiwe.
    Mdau Uholanzi.

    ReplyDelete
  4. vile vile unaweza kujaribu www.livevs.com au goalsmania.com....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...