Ankal,
Wadau ambao wamekuwa wakiulizia ni wapi pa kutizamia au kufuatilia hizi mechi za CAN 2010 LIVE online, yeyote anayetaka anawea kusaula kwenye msururu wa linki zipo hapa:
Wadau ambao wamekuwa wakiulizia ni wapi pa kutizamia au kufuatilia hizi mechi za CAN 2010 LIVE online, yeyote anayetaka anawea kusaula kwenye msururu wa linki zipo hapa:
http://bit.ly/93dI2z
Zipo links za video na text kwa wale
Zipo links za video na text kwa wale
ambao hawawezi ku-stream live videos kwa sababau mbalimbali
Subi.
Au...download software inaitwa 'Sopcast' halafu tafuta hii channel 'Public Sport 1 - min upload to watch 350 Kb/s '
ReplyDeleteWao wanachukua Eurosport.. ni clear kama Tv. kama una bandwidth kuanzia 350 kbps.
1, haikati
2, haina matangazo
3, haina pop ups
Mdau hapo juu..shukrani kwa lini....ipo poa sana.
ReplyDeleteAsante dada Subi Nukta kwa jitihada. Hakika umetufaa wengi.
ReplyDeleteUbarikiwe.
Mdau Uholanzi.
vile vile unaweza kujaribu www.livevs.com au goalsmania.com....
ReplyDelete