Habari za leo kaka Michu.
Sisi wana Mafia tumeona bora tuchukue fursa hii kujitambulisha rasmi kwenye blog yetu ya jamii na kama utakavyoona kwenye tovuti yetu kuwa sisi ndio wenye asili ya Kisiwa chetu cha Chole ambacho maarufu kama Mafia.
Pia tumeona bora tuchukue fursa hii kuweka wazi kuwa sisi kama wenyeji na wazawa wa Kisiwa hichi ambacho kwa bahati mbaya tumetengwa Ki Jiografia na Kimaendeleo kuwa tutashirikiana kwa hali na mali na serikali na jumuiya zote zenye nia ya kuendeleza maendeleo ya Kijamii ambazo zitaenda sambamba na kulinda utamaduni, mila na desturi zetu bila kuvunjwa heshima kwa kisingizio cha Maendeleo.
Sisi wana Chole hatufungamani na upande wowote kwenye mambo ya Siasa au Itikadi yoyote ile ila hatutokaa kimya kuona watu ambao hawana nia njema na Kisiwa chetu kuendelea kufanya watakayo bila kuomba ridhaa ya wana Chole. Na pia hatutosita kutoa maoni yetu kupinga au kuunga mkono watu au jumuiya ambazo zitakuwa zinafanya shughuli zake hapa Kisiwani kwetu.
http://www.friendsofmafiaisland.com/
Karibuni sana kwenye tovuti yetu na

tunaomba maoni yenu kupitia anuani za barua pepe zifuatazo:
General enquiries: info@friendsofmafiaisland.com
Campaigns team: campaigns@friendsofmafiaisland.com
Publications: publications@friendsofmafiaisland.com
Membership and supporter services: supporterservices@friendsofmafiaisland.com
Pia mwaweza kutupata kupitia e-mail hii:
friendsofmafiaisland@gmail.com
Tunatoa shukrani zetu za dhati.

haya wana wa chole-mafia,tumeona na tutakuja kutembea.
ReplyDeleteMafia kuna mandhari safi sana.
ReplyDeleteHata Bill Gates huchukuwa low profile vacations huko Mafia. Nilishaonana naye huko.
(US Blogger)
Wana Mafia mbona mmeanza na mkwara mzito sana juu ya utamaduni, siasa na maendeleo yenu? Msiogope jamani, utawala wa kisultani hautarudi milele hivyo kuleni changudoa wenu kwa raha zenu na sisi wabara tunakuja kudowea.
ReplyDeletePongezi kwenu wana Mafia kwa kujitosa rasmi ktk libeneke.
ReplyDeletehttp://tembeatz.blogspot.com/
Mbona webusaiti nyenu mikwala kibao kama vile unatembele webusaiti ya benki au hospitali, yaani ka vile mna taarifa nyeti (confidential data)
ReplyDeleteUshauri: webusaiti yenu iwe 'customer-friendlly' aka muwaenzi watalii watarajiwa/donors n.k kwa kuifanya webusaiti yenu iwe na picha/info kibao za hoteli za huko kisiwani, pwani safi, dolphins n.k
Mdau
Canary Islands
hii ni nzuri sana tusiitegemee sirikali iliyotuongoza kwa miaka 48 ifanye mapinduzi ya kiuchumi kwa miaka 5.!
ReplyDeletetnawangoja iringa,tanga, kigoma, mtwara na wengine waliosahaulika wawafuate kuyakomboa maeneo yao