Home
Unlabelled
mchakato wa upanuzi wa uwanja wa ndege waanza dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Afadhali, labda ule ufisadi unaweza ukapungua unaoendelea kwenye kiwanja cha sasa hivi. Kwani unaisha lini huu ujenzi?
ReplyDeleteSina uhakika hiko kiwanja cha ndege kiko mjini kiasi gani. Nimeona kiwanja cha ndege hapa Lisbon kinataka kuhamishwa na kupelekwa nje ya mji kidogo kwa sababu makelele ya ndege imekuwa ni kero sana pia ndege zinapotaka kutua zinakuwa chini chini na ni hatari kwa majengo marefu. Sijui kama haya yamezingatiwa
ReplyDeleteAah na nyie too much sasa, kila kitu hamna hakika, sasa hayo majumba yalikuta uwanja au uwanja ulikuta majumba? Kama ukipelekwa nje ya mji na watu nao wakaufuata kuhamia huko, itabidi nako uvunjwe?
ReplyDeleteJamani mie naomba mnijuze! Hivi upanuzi huu unajumuisha ujenzi wa njia mpy pajona na departure na arrival launges mpya au upanuzi huu unahusisha nini? Je inawezekana tukapata ramani ya jinsi uwanja mpya utakavyokuwa baada ya kukamilika?
ReplyDeletehiyo terminal ingeachwa ilivyo na kujenga nyingine nje ya mji kwa kujenga wanja la kisasa, pia wangefikiria kujenga reli ya kutoa abiria mjini kuwapeleka kwenye huo uwanja
ReplyDeletenyinyi wadau mjajua inagharimu kiasi gani kujenga uwanja wa ndege mpya? Kweli mnaishi Tanzania bila ya kujua data za uchumi wa nchi yenu? Kwa manufaa yenu, Tanzania ni nchi masikini na inahitaji misaada kila mwaka kulipa gharama za kuendesha nchi na kuwalisha wananchi. Watapata pesa wapi kujenga uwanja mpya? Tuna ubavu gani?
ReplyDeleteinaonekana patakua bomba sana.na sisi wa kiwalani tupate pakujisafishia macho
ReplyDelete