Mambo michuzi,
Hizi nilizikuta Pemba naona kila mmoja kwa namna yake anafanya kampeni ya kupambana na UKIMWI. Nimejaribu jaribu kukumbuka photojournalism.
Asante
TSJ ALUMNI '06
Pemba hotel




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. WHO WILL NEVER DIE?? WHO WILL LIVE FOREVER?? WHAT WILL KILL?? IF NATURAL WE WILL ALL DIE WITH AIDS JUST BECAUSE OUR IMUNE SYSTEM WILL FAIL TO SURPORT OUR LIFE THAT IS THE SAME EAY ADAM AND EVE DIED. IF NOT MY ANT PHYSICAL CATASTROPHY, AIDS IS WHAT HAS BEEN KILING US

    ReplyDelete
  2. Michuzi sasa hii kali,hili bango liko Pemba sehemu ambayo asilimia 95% ni muslims na ndoa ni wake 4 sasa huyu muoaji akipima mara kumi na mbili ndani ya wake watatu atakutwa salama kweli?iweke hii ijadiliwe japo nisijeonekana nakwenda kinyume na dini ya kiislamu!

    ReplyDelete
  3. na hayo ndio maadili ya mwafrika aliyeerevuka...

    ReplyDelete
  4. mimi nitakuja hapo kwa vikesheni yangu hivi karibuni nina vyeti vya ndoa vinne! kwani nimeoa wamama wanne na kila nikisafiri nakuwa nao, sasa nauliza kama inaruhusiwa kwa mpigo nikiingia nao!! kwani wote wanavyeti!!!!! alafu sote twakaa chumba kimoja kwani mimi na wake zangu ni mwili mmoja!!!!!!!!!!!
    Mdau makame!

    ReplyDelete
  5. PLEASE TELL ME, MLENGWA HAPO NI NANI MGENI MPEMBA AU MGENI KUTOKA NJE YA PEMBA?

    VIPI WALE WAZUNGU WANAOFURIKA KWENYE BEACH ZA PEMBA WANAKUJA NA HATI ZA NDOA KWELI? I DOUBT.

    IT'S A GOOD EFFORT HATA HIVYO MARA NYINGI HII HUWA KAMA CHANGA LA MACHO VILE KUONYESHA KWAMBA WANAFUATA TARATIBU LAKINI KINACHOFANYIKA NYUMA YA PAZIA NI MUNGU TU NDIYO ANAJUA.



    Ni kweli lakini mara nyingi huwa ni changa la macho kuonyesha kwamba anafuata taratibu lakini yanayofanyika nyuma ya pazia ni mungu tu ndiyo anajua

    ReplyDelete
  6. My two centsJanuary 22, 2010

    hahaha! so you're telling me MARRIAGE will help reduce AIDS? This is complete and utter bs.


    What is the point of getting married if you’re going to cheat after a few years anyways?Bora ukae single ukipata ukimwi ujifie mwenyewe kuliko kurudi home kumuambukiza mama watoto na watoto wote ambao utazaa nae. If you’re not married and you’re having unprotected sex then at least the only person you’ll be taking with you to the grave is your lover, and not your whole family.

    Wangapi humu kwenye blogu wanakujaga kuomba ushauri about nyumba ndogo? Bongo watu wakishafunga ndo after 1 or 2 years the husband (not always but most of the time it is the husband) begins to lose interest na mimacho inaanza kutafuta the next hot piece. If you can’t keep it in your trousers and can’t commit yourself to one man and one woman only, then do not get married.

    Sasa marriage certificate itabidi zije in wallet size??utembee nayo just in case people want to prove you’re married. The only way to get rid of AIDS is to educate ourselves.Change behaviour not the system. If marriage were the key to ending the spread of AIDS mbona bongo kungekuwa hamna UKIMWI maanake bongo kwa maharusi..every single day. This blog alone is proof. Wedding photos galore every weekend!

    ReplyDelete
  7. safi sana kaka mithupu nilivyoelewa mimi huko zenji YES maana yake NO

    ReplyDelete
  8. wamesahau kuandika na kila mwanaume ahakikishe usiku anachunga mke wake sio leo kala kwa bi mkubwa kesho kwa bi mdogo na keshokutwa kwa bi wa kati

    ReplyDelete
  9. habari ya kutembea na cheti cha ndoa kama kitambulisho wala haiji, kingekua kidogo kweli, tatizo ni kirefu kuliko hata karatasi ya A4, kukibeba ni kazi.
    Kuna njia nyingi za kuzuia kusambaa kwa Ukimwi, hii ya kutembea na vyeti vya ndoa wala sioni kama inafaa, maana kama mtu ameamua kufanya sio lazima hotelini!
    Kuzuia watu sio suluhisho zuri kama kuwaelimisha watu ubaya wa jambo hilo halafu wakatumia akili kuamua wenyewe.

    ReplyDelete
  10. Mchangiaji wa tatu ndo umeanza kwenda nje ya dini ya kiislamu coz hko ni waislamu wengi, any way UKIMWI hautozuiliwa kwa mabango, tuwachukulie hatua kali kwanza wazinifu wote, tuone km utakuepo huu.

    ReplyDelete
  11. Binadamu bwana daima atatetea uvivu,anasa, na vile vyote anavyovipenda.
    Sasa aliyetuumba anatujua vizuri.Anafahamu kama tutajidai kujua kwingiii, na hoja nyingiii ambazo mwisho ni pumba tupu.
    Ndio maana M/Mungu akaleta sheria za kukimbizana na sisi.
    1.Umeiba - kata mkono.
    2.Umezini - bakora 100, piga mawe.
    3.Shoga/Basha - Angushia kiambaza.
    n.k

    Zingekuwa zinatekelezwa hizi tungeona kama idadi ya watoto wa mitaani ingekuwa kama ilivyo leo, au watu wangevua sarawili na gagulo za hovyohovyo kama tuonavyo leo?
    Au mtu kujisifu mtaani/hadharani kwa vitendo vyake vya zinaa.

    Ukitaka kujua ubaya wa zinaa vuta fikra ya mtu anamzini mama,shangazi,dada au binti yako.
    Au kamuulize mzee ambaye binti yake mpenzi kashapachikwa mimba ya off - side.

    Hata tusemeje, ukweli unabaki kuwa zinaa haipendezi na inadhalilisha.

    Mndengestan

    ReplyDelete
  12. Wadau, huo ni ujumbe au tahadhari mbona mmekuja juu hivyo? hata wengine wakina mama na watoto wao pia wanashangaza kuchukizwa na kuambiwa waende na vyeti vya ndoa..kha!... akili ni nywele na kila mtu ana zake... kama wewe unaona ni bora usioe ili ufe na ukimwi mwenyewe hayo ni maamuzi yako!. Na hii inaonyesha jinsi UKIMWI unavyoenezwa kwa Ngono!.Tutakufa wote tusipoangalia.
    Kuulizwa tu cheti cha ndoa imekuwa nong'wa kama hutaki si usiende pemba tu! ebo mbona kero hivyo na tabia zenu za kupenda zinaa!.. Ukimwi unaua... chukua tahadhari!

    ReplyDelete
  13. Nakumbusha tu, najua english sio lugha yetu, lakini kabla ya kuingia gharama kuweka mabango na kuchora kuta kwa rangi, ningesisitiza tuzingatie jinsi maneno ya kingereza yanavyo andikwa. Kuna sehemu imeandikwa UNMARIED badala yta UNMARRIED, ni hayo tu.

    ReplyDelete
  14. huu ujumbe kwa kiingereza haueleweki.anauelewa yule mtu ambaye anafahamu kiswahili kisha akatafsiri kiswangereza.
    NOT ALLOWED TO ENTER WITH UNMARRIED MAN OR WOMAN!=hairusiwi kuingia na mwanamume ambaye hajaoa au mwanamke(ambaye hajaolewa).
    hii sio lugha sahihi iliyoandikwa ktk bango.labda wangeandika NOT ALLOWED TO SHARE ACCOMODATION IN OUR HOTEL WITH A PARTNER WHO IS NOT YOUR SPOUSE(WHO YOU ARE NOT IN MATRIMONIAL BOND), au PARTNERS WHO ARE NOT IN LEGAL MATRIMONIAL DOND ARE NOT ALLOWED TO SHARE ACCOMODATION IN OUR HOTEL.

    ReplyDelete
  15. yani nimecheka mimi leo,,, na kila nikikumbuka tu aya matangazo sina mbavu,,,
    1.kweli kiswahili kigumu
    2.utamaduni huu mwisho
    3.zenji nina wasiwasi nao na ubongo zao
    4.sasa tusio na marriage certificates je?mf.ndoa za mkeka,kimila,wachumba nk
    5.mweeeeeeeee

    ReplyDelete
  16. annon "my two centes" looooolzz
    umenivunja mbavu khaaa umewaza mbali sana

    hahahahaaa,,,sijui izi ndoa za nn kwakweli kazi kuuana tu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...