Maafisa wa NMB wakitembezwa shule ya Msingi ya Nyanza kabla ya kutoa misaada ya ujenzi wa madarasa matatu katika shule hiyo.
wanafunzi wa shule hiyo wakijumuika kwenye hafla

Mkuu wa kitengo cha Mahusiano benki ya NMB Shy-Rose Bhanji, akikabidhi sehemu ya msaada wa saruji na mabati kwa Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Nyanza Bibi Happiness Kimambo, ikiwa ni msaada wa NMB kusaidia sehem ya ujenzi wa madarasa matatu katika shule hiyo.
Mkuu wa kitengo cha Mahusiano benki ya NMB Shy-Rose Bhanji, akikabidhi sehemu ya msaada wa saruji na mabati kwa Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Nyanza Bibi Happiness Kimambo, ikiwa ni msaada wa NMB kusaidia sehem ya ujenzi wa madarasa matatu katika shule hiyo.


Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano NMB Shy-Rose Bhanji akiongea na walimu na wanafunzi waliofika katika hafla hiyo.





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. hivi kuna sehemu benki hii haijafika katika kutoa misaada? yaani kila sehemu wapo hii ni kazi nzuri sana mnayofanya

    ReplyDelete
  2. safi sana misaada tunaona inaelekezwa kwa jamii ambayo kweli inastahili kupata hususan mmaeneo ya vijijini na siyo mijini tu.

    ReplyDelete
  3. kaka michuzi, salaam kwako kaka. Mimi si mpenzi sana wa kutoa maoni katika blogs japokuwa ni mpenzi mkubwa sana wa blog yako. Lakini leo nimeshindwa kujizuia kwasababu nataka niseme kidogo kuhusu benki ya NMB. Hii benki kwa kweli wote tunakumbuka ilipokuwa na sasa ilipo. Leo hii benki iko imara kiasi cha kwamba tunajivunia benki yetu kukua kiasi hiki. Nimekuwa nafuatilia kila siku benki inatoa misaada tofauti na benki zingine. Kwa kweli hatua hii ya NMB kutenga fungu la misaada kwa jamii inahitaji kupingezwa ndio maana leo nimeshindwa kukaa kimya. Safi sana. Asante kaka kwa kutuhabarisha matukio muhimu.

    ReplyDelete
  4. HII INATOA CHANGAMOTO...!

    ReplyDelete
  5. hongera sana benki ya nmb

    ReplyDelete
  6. bado hamjafikia sehemu zingine natoe wito mfike sehemu zingine kama rukwa hatujawaona nmb

    ReplyDelete
  7. nmb mnatisha bwana kwa misaada..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...