Ankal mcheki mama Clinton hapo, yaani hata yeye anavaa kiatu kikubwa kuliko mguu wake, ama kweli duniani kuna majamboz. Uzee nao....
Rais wa Ufaransa mze mzima Sakozy alisevu ngoma..
kisha wakala bonge la pozi
baadae jioni mama alienda bichi kuvua samaki




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 25 mpaka sasa

  1. Sorry picha ya chini sio yenyewe, hata mwenye uwezo mdogo wa kutofautisha vitu angeona, ANGALIA NYWELE za hao watu wawili, tofautisha nywele za mama Clinton kwenye picha za mwanzo na picha nyingine.

    ReplyDelete
  2. wacha uongo wewe!Clinton nywele zake ni fupi kama inavyoonekana kwenye hizo picha mbili za mwanzo...picha ya chini nywele ni refu na nikijana.

    ReplyDelete
  3. Kichwabuta Mwendantwala, OSLOJanuary 31, 2010

    Huyo SIO Mama Clinton (Mrs. Hillary Clinton) kwani ukiangalia nywele zake huyo dada na za Mama Clinton ni TOFAUTI kabisa HALAFU pia Mama Clinton hawezi kuwa yuko peke yake bila mlinzi !!!

    ReplyDelete
  4. Jamani wadau hivi ni kweli picha ya mwisho ni mama clinton akivua samaki na ndowano au?

    ReplyDelete
  5. Kwani mtuma taharifa amesema huyo anayevua samaki ni mama Clinton? Ameandiak kwamba jioni alienda kuvua samaki, kwa hiyo si lazima kwamba huyo anayevua samaki ni yeye.

    ReplyDelete
  6. It's obvious it is not Mrs Clinton, the picture was just posted as part of the sender's sick sense of humour.
    Michuzi umevamiwa

    ReplyDelete
  7. That aint Hillary.Na samaki huwa hawavuliwi beach.

    ReplyDelete
  8. Nimewapenda hao MABAWABU wawili hata kama Mama Clinton angeanguka wasingetikisika....

    ReplyDelete
  9. HII ni picha ya kutengeneza angalieni shingo ilivopinda kama ya pundamilia Ijapokua kichwa ni cha mama clinton,kuh nywele si lazima iwe siku hiyo hiyo.Na ufaransa kuua samamki kwa kujifurahisha ndio kama mila yao.

    ReplyDelete
  10. Awe Mama Clinton au asiwe, huyo mwanamke aisee ana figure safi mno. Very sexy yaani Mzee Clinton anafaidi. Yaani I cant help it but associate the woman with Hillary. Of course wakati alipokuwa bado kijana. Du!!Jamani mm mm

    ReplyDelete
  11. acha kutuletea masihara hapa beach gani kaenda france wakati watu tunapigiga na baridi ,nina amshaka sana kama mtoa habari hii anaishi europe beach zote zimeganda wewe unatuletea uzishi

    ReplyDelete
  12. Kibaridi cha Paris huwezi kwenda kuvua samaki. Jaribu tena

    ReplyDelete
  13. Huyo ni Chelsea Clinton, siyo Hillary Clinto..huyu ni mtoto wake. Yupo fishing...

    ReplyDelete
  14. sick sense of humour......hhahahahahaaaaa!!!!ni kweli haijachekesha hata kidogo

    ReplyDelete
  15. kiatu kumvuka mtu si hoja. inategemea na designer. unaweza designer huyu unavaa size 8, mwingine 7.5, mwingine non of them fits....anyways

    ReplyDelete
  16. Ya mwisho si mama clinton, Lakini kwa upande wa Pajazzzz tu inalipa kwa kweli. Duh siku hizi kaka hunilazi njaa!!! senkiyuuuu
    Mdau wa Pajazzzz+titizzzz

    ReplyDelete
  17. watanzania tunashindwa kutambua sarcasm!. picha ya mwisho sio Clinton Mrs. Imewekwa ku-changamsha soko tuu!, naona kweli soko limechangamka!.

    B.

    ReplyDelete
  18. Wabongo kweli kiboko, yaani mmeshindwa kuona habari nzima hapo iko wapi mnakaa kubishana, kweli ndio maana nchi yetu maskini.

    ReplyDelete
  19. Picha ya mwisho haijasema huyo ni nani. Acheni kuwanga, huyo ni mke wangu.

    ReplyDelete
  20. Every time Michuzi uploads this kind of posts, i get a joke straight away...lakini najua ukifungua tu comments kutakua na watindika wasioelewa kabisaaa...hawa sijua wamezaliwa wapi? wabongo bado saaaaana.
    kwa hiyo mliamini kabisa michuzi anafikiri huyo wa beach ni Clinton.Hafu Michuzi anavyowapatia anaweka uwanjani anawachia wendawazimu mbishane wenyewe...

    ReplyDelete
  21. watu wooote wameona picha moja tu ya mwisho hahahahaaaa
    afu wala haijasema mama clinton..mwee

    kuna wengine ni wadau wa pajazz kama uyo apo juu ana ugonjwa wa miili ya wanawake

    ReplyDelete
  22. KWANZA ULAYA SASA HIVI KUNA BARIDI YA HATARI, ANAWEZAJE KUVAA HIVYO ALIVYOVAA CHINI NA KUVUA SAMAKI? HII KWELI CHAI YA KWENYE KOMBE LA BATI.

    ReplyDelete
  23. DUUH! HAPO BABU MICHUZI UMECHEMSHA!! MAMA CLINTON KIMODO HIVYO?

    ReplyDelete
  24. Wahindi wakipandisha bei za internet kufanya kama elfu 5 kwa saa, wajinga wajinga wengi wesingekuja hapa. Tatizo kila mlala hoi sasa anaweza kulipa mia tano kuleta utumbo wake hapa kwa wasomi.

    ReplyDelete
  25. Pamoja na yote yaliyokwishatajwa, naomba niongezee kwamba jiji la Paris halina eneo la Beach.

    Kuna mto (uitwao "La Seine") unaokatisha katikati ya jiji lakini hakuna wala ziwa wala bahari, kama ilivyoonyeshwa kwenye picha ya mwisho.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...