Chumba maalumu kilichotengwa katika Ubalozi wa Tanzania, Nairobi Kenya, ambacho kinatumiwa na wageni kutia saini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Mzee ashidi Mfaume Kawawa, Simba wa Vita
Balozi wa Zambia, Mrs Charity K.M. Mutesha akitia saini kitabu cha Maombolezo katika Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania Nairobi. Alimwelezea Mzee Kawawa kama shujaa na kwamba Taifa limepoteza kiungo muhimu.

Balozi wa Uganda nchini Kenya Mrs Angelina C. Wapakhabulo akitia saini kitabu cha Maombolezo katika ofisi ya Ubalozi wa Tanzania Nairobi Kenya.
Balzozi wa Tanzania nchini Kenya Mh. Nyasugara P. Kadege (Kulia) akibadilishana mawazo na Balozi wa Uganda Nchini Kenya mara baada ya kutia saini kitabu cha maombolezo, wakitafakari juu ya kifo cha Simba wa Vita

Afisa Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya Mrs Mola (consular Affairs) akimkaribisha Balozi wa Russia nchini Kenya alipowasili ofisi za Ubalozi wa Tanzania Nairobi kutia saini kitabu cha Maombolezo
Balozi wa Iran nchini Kenya Mh. Mahmoud Zand akitia saini kitambu cha maombolezo
Afisa ubalozi wa tanzania Nairobi Bw. Stanley Ngozi akisalimiana na Balozi wa Iran Nchini Kenya mara baada ya Balozi huyo kutia saini Kitabu cha Maombolezo








Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Hongera: Balozi wa Uganda nchini Kenya Mrs Angelina C. Wapakhabulo!

    Angelina alikuwa ni m-Tanzania aiyeolewa na Bwana Wapakhabulo baada ya kuhitimu MMlimani 1970 na kuelekea Uganda na mumewe.

    ReplyDelete
  2. Kaka Michuzi safi sana kutuhabarisha kile kinachoendelea katika pande zingine za dunia kuhusiana na maombolezo ya kifo cha Mzee Kawawa.
    Kaka Stanley Ngozi nimefurahi kukuona, Heri ya mwaka mpya.

    Mdau Ukaguzi

    ReplyDelete
  3. Du Ngozi shavu hihaa Hongera bwana tunaona unabadilishina mawazo na Balozi

    ReplyDelete
  4. Huyo Mrs Angelina C. Wapakhabulo, alipokuwa bado hajawa balozi wa Uganda nchini Kenya, alimwuliza rais Kikwete juu ya Tanzania kuhalalisha uraia wa nchi mbili.

    Mnaona sasa baadhi ya "conflicts of interests" kuhusu suala la uraia wa nchi mbili.

    Si ajabu Mrs Angelina C. Wapakhabulo alishakana uraia wa Tanzania....la sivyo asingeweza kuchaguluiwa kuwa balozi wa Uganda...

    Ama ni janja ya m-7 kulinda maslahi ya makomredi wenzake (japo M-7 na Wapa walikuwa wameanza kidogo kutengana)?

    ,

    ReplyDelete
  5. love u grandpa...ur legacy livesd on forever...iam sure he smilling seeng his funeral

    ReplyDelete
  6. KAKA STANLEY NAKUTAFUTA SANA

    ReplyDelete
  7. if u dont mind naomba mail au simu yako bro muhimu sana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...