Home
Unlabelled
simba wa vita aombolezwa nairobi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hongera: Balozi wa Uganda nchini Kenya Mrs Angelina C. Wapakhabulo!
ReplyDeleteAngelina alikuwa ni m-Tanzania aiyeolewa na Bwana Wapakhabulo baada ya kuhitimu MMlimani 1970 na kuelekea Uganda na mumewe.
Kaka Michuzi safi sana kutuhabarisha kile kinachoendelea katika pande zingine za dunia kuhusiana na maombolezo ya kifo cha Mzee Kawawa.
ReplyDeleteKaka Stanley Ngozi nimefurahi kukuona, Heri ya mwaka mpya.
Mdau Ukaguzi
Du Ngozi shavu hihaa Hongera bwana tunaona unabadilishina mawazo na Balozi
ReplyDeleteHuyo Mrs Angelina C. Wapakhabulo, alipokuwa bado hajawa balozi wa Uganda nchini Kenya, alimwuliza rais Kikwete juu ya Tanzania kuhalalisha uraia wa nchi mbili.
ReplyDeleteMnaona sasa baadhi ya "conflicts of interests" kuhusu suala la uraia wa nchi mbili.
Si ajabu Mrs Angelina C. Wapakhabulo alishakana uraia wa Tanzania....la sivyo asingeweza kuchaguluiwa kuwa balozi wa Uganda...
Ama ni janja ya m-7 kulinda maslahi ya makomredi wenzake (japo M-7 na Wapa walikuwa wameanza kidogo kutengana)?
,
love u grandpa...ur legacy livesd on forever...iam sure he smilling seeng his funeral
ReplyDeleteKAKA STANLEY NAKUTAFUTA SANA
ReplyDeleteif u dont mind naomba mail au simu yako bro muhimu sana
ReplyDelete