MWANAFUNZI wa Shule ya Msingi aliyejitambuilisha kwa jina moja to la Joseph akisukuma leo gari la polisi lilozimika ghafla karibu na Makao Makuu ya Jeshi la Polisi yaliyopo katika Manusipaa ya Sumbawanga , Mkoani Rukwa. Kijana huyo hakufanikiwa kuliwasha na liliwaka pale walipotekea wasamaria wengine waliosaidiana nae. Picha na mdau Peti Siyame.
Home
Unlabelled
uzalendo halisi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Hawa Manjagu wanamchelewesha kijana kwenda shule.
ReplyDeleteNaona limezimika kwenye barabara mpya ya lami!! Police alikuwa so excited kuendesha kwenye barabara mpya kiasi kwamba cabureter iliingia vumbi la lami!!!
ReplyDeleteKwani kuna ubaya gani?ina maana polisi wa bongo wanaogopwa?
ReplyDeleteGARI YA SERIKALI NAYO INASUKUMWA, ALAFU WAPI NA WAPI GARI KAMA HIYO NA KAZI ZA POLISI SUMBAWANGA, KARANDINGA VIPI? POLISI LANDROVER NDO GARI.
ReplyDeleteHii ni child abuse.angetafuta wakubwa wamsaidie by the way huyo mtoto alikuwa anatakiwa kuwa shule.
ReplyDeleteHii si sawa.
hii gari ni matairi yake au ya bajaji???
ReplyDeleteKijana huyu mdogo ameonesha moyo wa kujali na kujituma. Si lazima muda wote awepo darasani. Huyu atakuwa Pinda mdogo
ReplyDeletehuu ni upumbavu, mtoto wa watu baada ya kwenda shule anasukuma gari la mwela. pengine hata chakula hajala kabla ya kwenda shule. Ilo ndo tatizo la kuajiri watu mambumbu katika sekta muhimu k.m ulinzi. isitoshe gari lilipowaka huyo mtoto hakupewa hata lifti
ReplyDelete