MWANAFUNZI wa Shule ya Msingi aliyejitambuilisha kwa jina moja to la Joseph akisukuma leo gari la polisi lilozimika ghafla karibu na Makao Makuu ya Jeshi la Polisi yaliyopo katika Manusipaa ya Sumbawanga , Mkoani Rukwa. Kijana huyo hakufanikiwa kuliwasha na liliwaka pale walipotekea wasamaria wengine waliosaidiana nae. Picha na mdau Peti Siyame.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Hawa Manjagu wanamchelewesha kijana kwenda shule.

    ReplyDelete
  2. Naona limezimika kwenye barabara mpya ya lami!! Police alikuwa so excited kuendesha kwenye barabara mpya kiasi kwamba cabureter iliingia vumbi la lami!!!

    ReplyDelete
  3. Kwani kuna ubaya gani?ina maana polisi wa bongo wanaogopwa?

    ReplyDelete
  4. GARI YA SERIKALI NAYO INASUKUMWA, ALAFU WAPI NA WAPI GARI KAMA HIYO NA KAZI ZA POLISI SUMBAWANGA, KARANDINGA VIPI? POLISI LANDROVER NDO GARI.

    ReplyDelete
  5. Hii ni child abuse.angetafuta wakubwa wamsaidie by the way huyo mtoto alikuwa anatakiwa kuwa shule.
    Hii si sawa.

    ReplyDelete
  6. hii gari ni matairi yake au ya bajaji???

    ReplyDelete
  7. Kijana huyu mdogo ameonesha moyo wa kujali na kujituma. Si lazima muda wote awepo darasani. Huyu atakuwa Pinda mdogo

    ReplyDelete
  8. huu ni upumbavu, mtoto wa watu baada ya kwenda shule anasukuma gari la mwela. pengine hata chakula hajala kabla ya kwenda shule. Ilo ndo tatizo la kuajiri watu mambumbu katika sekta muhimu k.m ulinzi. isitoshe gari lilipowaka huyo mtoto hakupewa hata lifti

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...