Meneja Matukio na Promosheni wa Vodacom Tanzania Rukia Mtingwa (katikati)akiwasiliana na mshindi wa Ofa Bomba Samsung Promosheni Mariam Andwele mkazi wa Ukonga temino one aliyejinyakulia shilingi Milioni 13. Shoto ni msimamizi kutoka bodi ya michezo ya kubahatisha Mrisho Milao na kulia ni Kaimu Mkuu wa biashara za rejareja wa Vodacom Upendo Richard.
Meneja Matukio na Promosheni wa Vodacom Tanzania Rukia Mtingwa (kushoto)akionyesha simu aina ya Samsung kwenye Promosheni ya Ofa Bomba inayochezeshwa na Vodacom ikishirikiana na Samsung, (katikati) Kaimu Mkuu wa biashara za rejareja wa Vodacom Tanzania Upendo Richard,na mwakilishi wa masoko wa Samsung Amina Iddy.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. women power.i like tosee womenin charge! enzi hizo walikuwa wanaume ndiyo in change kila kona, sasa ni zamu ya akina mama well done girls!

    ReplyDelete
  2. Michuzi tafadhali rekebisha Kiswahili hapo, sio Lazi ni radhi, ni hilo tu.

    ReplyDelete
  3. I'm very proud of Tanzania that more and more women are taking such positions.I hope this will be a motivating factor for all girls/women to aspire for such responsible positions.We men should support our women wherever we can.

    ReplyDelete
  4. you go girl(upendo),says Bibi Kijana!!!!

    ReplyDelete
  5. Mimi sidhani kama kuna tatizo na issue nzima ya women empowerment. Lakini ni muhimu tuwe tunafanya maamuzi kama kuwapatia nafasi mbalimbali wanawake. Wawe na sifa na uwezo stahili wa kukabidhiwa hiyo nafasi pasipo kupendelewa kwa kisingizio cha women empowerment.

    ReplyDelete
  6. Rukia upooo??? Holla at your girl.
    -Chrispina

    ReplyDelete
  7. Rukia hiv keshaolewa? She is smart.

    ReplyDelete
  8. kama kesha olewa au bado haihuuuuuuu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...