Mkurugenzi wa shirika lisilo la kiserikari Afrobino, Babu Sikare(kushoto), akimkabidhi Mkurugenzi wa Huduma za Hospitali kutoka Wizara ya Afya, Dr. Magreth Mhando (kulia) karatasi yenye maelekezo ya msaada wa mafuta ya kuzuia ngozi isiharibike na jua kwa ajili ya watoto wenye ulemavu wa ngozi Tanzania (Albino) yenye thamani ya dolla 1,500. Katikati ni Kaimu Mkurugenzi Idara ya Ustawi wa Jamii Bi. Magreth Njimba.

Huu ndio mfano wa kuigwa.hongera kaka.
ReplyDeleteSafi sana mkulu Babu. Haya ndio maneno!
ReplyDeleteKWA WALE AMBAO WATAONA KAMA MCHANGO WA ALBINOFULANI NI WA KITOTO...NAOMBA NIWAELEWESHE...HUU NI UJUMBE KWA SERIKALI KUHUSU VITU AMBAVYO WANATAKIWA KUFANYA....BADALA YA KUJINUNULIA MAPRADO...SIMPLE AND COMMONSENSE THINGS....WAY TO TO ALBINOFULANI...I LIKE YOUR MUSIC, I LIKE YOUR MOVIES..
ReplyDeleteMDAU
JAPAN
Babu safi sana
ReplyDeleteGo my bro.If you want to see change you should first be a change. Asante kwakuonyesha kwavitendo. Muda wa maneno mengi umekwisha.
ReplyDeleteAlbino flani hongera sana mkuu tupo pamoja..ujumbe umefika..we umeanzisha safari wengine inabidi tufuate nyayo zako mkuu
ReplyDeletetutafika tu
Babu a.k.a Kubwa la Maadui
ReplyDeleteKazi nzuri..keep it up!!!!