Meneja Matukio na Promosheni wa kampuni ya bia ya Serengeti (SBL) Bahati Singh baada ya kumeremeta na mai waifu wake Zenat huko Mbezi Beach jijini Dar
Maharusi wakiwa na mtu wao wa karibu sana ambaye pia alikuwa MC wa shughuli hiyo Mkushi John Tall a.k.a Maprint Print

solo na manyamanyama...
michuzi jnr akijipati juisi kwenye mnuso huo




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Duh! Juis kwenye bomba? Hiyo kali.

    Dogo kama nakuona hapo ulivyoifakamia.

    Lete vitu vyetu vile vya Bakulutu JIACHIE kule. Achana na Michuzi Sin ya huyo.

    ReplyDelete
  2. hi!safi kabisa,kuona bint wa kidosi akifinga mbingu za maisha na mmatumbi,sasa wale wazushi wanaosema oh! waindi wabaguzi,si mnaona hapa jinsi wanavyokubali kujichanganya...Ndoa yenu idumu milele,Baguwan !hare rama are krishina atalinda nyinyi wote,
    wadanganyika

    ReplyDelete
  3. Mr Michuzi Sn

    acha utani huyu si michuzi Jr hata kama ni mdogo wako ila hayuko hivi, umechanganya hebu muangaliea tena na msamaa wa nguvu nausubiri...Mdau Kiluvyaa

    ReplyDelete
  4. jamani hapa mimi mboni sioni mdosi,? ila jina singh ni la kidosi.masaada kwa wanao wafahamu au ni mchanganyiko wa damu au ni wahindi weusi?

    ReplyDelete
  5. Ngoja mimi niwafafanulie huyo bwana harusi ana mchanganyiko wa kabila marehemu baba yake ndio alikuwa mhindi yani kiswahili tunaita "SINGASINGA"na mamarehemu mama yake mtu wa mwanza.na bibi harusi baba yake ni Mngoni na mama yake ni Msambaa.vazi la kihindi siku hizi kila mtu anavaaa sio lazima ue mhindi nadhani msg mmeipata hapo.ASANTENI.

    ReplyDelete
  6. nimeyapenda sana mavazi. mungu awajalie maisha mema na afya njema

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...