Home
Unlabelled
bahati na zenat wameremeta
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Duh! Juis kwenye bomba? Hiyo kali.
ReplyDeleteDogo kama nakuona hapo ulivyoifakamia.
Lete vitu vyetu vile vya Bakulutu JIACHIE kule. Achana na Michuzi Sin ya huyo.
hi!safi kabisa,kuona bint wa kidosi akifinga mbingu za maisha na mmatumbi,sasa wale wazushi wanaosema oh! waindi wabaguzi,si mnaona hapa jinsi wanavyokubali kujichanganya...Ndoa yenu idumu milele,Baguwan !hare rama are krishina atalinda nyinyi wote,
ReplyDeletewadanganyika
Mr Michuzi Sn
ReplyDeleteacha utani huyu si michuzi Jr hata kama ni mdogo wako ila hayuko hivi, umechanganya hebu muangaliea tena na msamaa wa nguvu nausubiri...Mdau Kiluvyaa
jamani hapa mimi mboni sioni mdosi,? ila jina singh ni la kidosi.masaada kwa wanao wafahamu au ni mchanganyiko wa damu au ni wahindi weusi?
ReplyDeleteNgoja mimi niwafafanulie huyo bwana harusi ana mchanganyiko wa kabila marehemu baba yake ndio alikuwa mhindi yani kiswahili tunaita "SINGASINGA"na mamarehemu mama yake mtu wa mwanza.na bibi harusi baba yake ni Mngoni na mama yake ni Msambaa.vazi la kihindi siku hizi kila mtu anavaaa sio lazima ue mhindi nadhani msg mmeipata hapo.ASANTENI.
ReplyDeletenimeyapenda sana mavazi. mungu awajalie maisha mema na afya njema
ReplyDelete