Mkurugenzi mtendaji wa Benki ya CRDB Dkt. Charles Kimei Akifurahia jambo wakati akimkabidhi Bi. Pamela Kipokola ( kulia ) zawadi ya Luninga bapa ‘LCD’ iliyounganishwa na king’amuzi cha DSTV makao makuu ya Benki hiyo jijini Dar. Katikati ni Bw. Albert Temu mume wa Bi. Kipokola na mtoto wao Liberati. Akimpa zawadi ya kifurushi chenye zawadi mbalimbali kutoka benki hiyo mshindi wa tatu Bi. Evalitha Tenson


Kimei ni kifaa.
ReplyDeleteTunahitaji wakurugenzi kama yeye pale Tanesco.
Hakika tukiwa na akina Dr. Charles Kimei kama 10 tu ktk mashirika yetu basi nchi inaendelea.
ReplyDeleteHongera Kimei
Hongera Fred Musika kwa kupata zawadi.
ReplyDeletemdau M6
hee hizi sifa zinatoka wapi? nini cha ajabu hapo au kuficha yaliyomo?....wachaga bwana!!!
ReplyDeleteheeee wee annon #4 toka juu
ReplyDeletekulikoni na wachaga???hahahahahaa hii blogu jamani kuna watu!!
hapo juu mnyonge myongeni haki yake mpeni!! hakuna binadamu aliekamilika acha unafiki wewe sijui kuficha yaliyomo sijui wachaga acha hizo wewe una lako jambo utajiju na bado he he heee halooo unaloo limekuganda kama si lako la jirani yako haihuuuuu
ReplyDeleteHuyu Dr. Kimei ni CEO wa kuigwa.
ReplyDelete(US Blogger)
Kweli Kimei mchapakazi,angalia alipoifikisha CDRD kwa sasa. Alifaa awe Governor ila kuna wazushi kama wenye mawazo ya mdau wa nne hapo ndo hivyo tena ndulu akachukua chake.
ReplyDeleteMdau wa M6