Kama kawaida"WaPi" inaendelea kuzunguka mikoani. Baada ya mzunguko wa mikoani..Iringa mwezi wa 8-08-09, Arusha 3-10-09, Bagamoyo 12-12-2009, Mwanza 23-01-2010

Tumeinngia makao makuu Dodoma. Safari hii kauli mbiu yetu ni Uhuru wa Sanaa... kwenye mada yetu "Uhuru wa Sanaa"...tunajadili hali ya kutojiamini ya wasanii wa mikoani na ile hali ya kutegemea mji wa Dar tu, kwa mafanikio yao. KIJIWE MAARIFA tutakuwa na Meja, msanii mahiri wa uchoraji wa machata, Kemi Kalikawe, Atafanya warsha ya ulimbwende, usanifu wa mavazi.

WaPi pia Yawaletea Wasanii mbali mbali wa sauti ya handaki(undeground), Katika harakati. Madijei, ma emsii, machata, mabreka ,michoro mbali mbali, ushairi,ngoma, maigizo na usanifu mitindo.

Mahali: Nyerere Square,
Dodoma mjini

(maelekezo: Kati kati ya mji Dodoma, mkabala na benki ya NMB)

Jumamosi, 27-02-2010 mida; saa 8 -alasiri-hadi 2 usiku

Mada ya mwezi:ni UHURU WA SANAA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. yap bw michu, mimi naomba kuongezea katika katika hiyo mada ya Uhuru wa Sanaa, lengo isiwe kujadili wasanii kutegemea mkoa wa Dar pekeyake... kuna kila sababu za kutegemea dar, bali nilidhari uhuru wa sanaa katika kujadili mambo mbalimbali yanayojitokeza katika jamii bila woga. na bila kubania sanaa zinazo kosoa ama elezea ukweli wa mambo. ni hayo tu mzee.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...