Spika wa Bunge la Jamhuri ya Tanzania Mh. Samwel Sitta (kulia) akibadilisha mawazo na Naibu Waziri wa Kazi , Ajira na Maendeleo ya Vijana Dk. Makongoro Mahanga(katikati) na Mbunge wa Kigoma Mjini Mh. Peter Serukamba (kushoto) leo mara baada ya kipindi cha maswali na mjibu kumalizika. Waziri wa Maliasili na Utalii Shamsa Mwangunga (kushoto) akiteta jambo na Naibu Wake Ezekiel Maige(kulia) jana mjini Dodoma mara baada ya kikao kuarishwa kwa ajili ya mapumziko ya mchana .Mkutano wa 18 wa Bunge la Tanzania unaendelea mjini hapa ambapo leo umefika kikao cha 11. Picha na mdau Tiganya Vincent wa Maelezo


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...