
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Ludovick Utouh (kulia) akizungumza na waandishi wa habari jana kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma juu ya matokeo ya taarifa ya ukaguzi katika Wizara ya Elimu na usafi wa mazingira. Kushoto ni Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi Mwantumu Mahiza. Picha na Tiganya Vincent-MAELEZO-Dodoma
Vipi huyo ludovick sasa amekuwa na imba nyimbo za kurabu kwani hiyo stahili yake
ReplyDeleteELIMU YA TANZANIA SI SAWA NA ILE YA TANGANYIKA ILIYOACHWA NA MKOLONI NA KUWEZESHA MWANAFUNZI WA DARASA LA TANO KUFANYA KAZI SERIKALINI KWA UFANISI MKUBWA. HALI HII TUNAYOINA SASA NI AJENDA YA SIRI YA VIONGOZI WA CCM KWA MAKUSUDI WALIPANGA KUIPOROMOSHA ELIMU ILI WAWEZE KUTUTAWALA KIRAHISI PIA WATOTO WAO NA FAMILIA ZAO ZIWEZE KUWA WATAWALA. WATANZANIA LAZIMA TUJIULIZE KAMA KWELI HAWANA AJENDA KWANINI HAISHITUKI NA KUANDAA MIKAKATI YA KUIOKOA ELIMU, SIJAWAHI KUSIKIA RAISI AKISHITUKA WALA KUSEMA KUWA ATAIPANGA UPYA WIZARA YA ELIMU! KUFELI KWA WANAFUNZI INAONEKANA KAMA NI TATIZO LA HAO WANAFUNZI NA SI LA TAIFA. WATANZANIA TUACHE KUWACHEKA WANAFUNZI KWANI WAO SI CHANZO CHA TATIZO BALI TATIZO NA CCM NA SERIKALI YAKE, TUNASHUHUDIA MWENYEKITI WA CCM AKITEMBELEA MATAWI YA CHAMA CHAKE KUONA UHAI WA CCM LAKINI HAJAWAHI KUTEMBELEA SHULE KUONA UHAI WA ELIMU KATIKA SHULE ZETU! KWAKE CCM NI MUHIMU ZAIDI YA ELIMU.
ReplyDeletejamaa yangu ni ccm na namwona kama anahangaika pekeake kujua nini kinakosekana mashuleni nini tatizo la wanafunzi walimu vipi....but naumia sababu hana support yoyote siku ukiskia anawageni ujue wanakuja kuzungumzia campeni sjui ufunguzi wa nini lakini ishu nyingine hasa elimu ni marachache sana.jamani kidole kimoja hakivunji chawa
ReplyDeleteAnkal naona kipigo cha juzi walichopata bwawa la maini bado kinakulevya; mbona picha uloiweka siyo ya bungeni na wala siyo ya Ludovick Utoh?? hao ni akina Babu Seya na wanawe!!!! rekebisha ankal
ReplyDelete