Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Ludovick Utouh (kulia) akizungumza na waandishi wa habari jana kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma juu ya matokeo ya taarifa ya ukaguzi katika Wizara ya Elimu na usafi wa mazingira. Kushoto ni Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi Mwantumu Mahiza. Picha na Tiganya Vincent-MAELEZO-Dodoma

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Vipi huyo ludovick sasa amekuwa na imba nyimbo za kurabu kwani hiyo stahili yake

    ReplyDelete
  2. ELIMU YA TANZANIA SI SAWA NA ILE YA TANGANYIKA ILIYOACHWA NA MKOLONI NA KUWEZESHA MWANAFUNZI WA DARASA LA TANO KUFANYA KAZI SERIKALINI KWA UFANISI MKUBWA. HALI HII TUNAYOINA SASA NI AJENDA YA SIRI YA VIONGOZI WA CCM KWA MAKUSUDI WALIPANGA KUIPOROMOSHA ELIMU ILI WAWEZE KUTUTAWALA KIRAHISI PIA WATOTO WAO NA FAMILIA ZAO ZIWEZE KUWA WATAWALA. WATANZANIA LAZIMA TUJIULIZE KAMA KWELI HAWANA AJENDA KWANINI HAISHITUKI NA KUANDAA MIKAKATI YA KUIOKOA ELIMU, SIJAWAHI KUSIKIA RAISI AKISHITUKA WALA KUSEMA KUWA ATAIPANGA UPYA WIZARA YA ELIMU! KUFELI KWA WANAFUNZI INAONEKANA KAMA NI TATIZO LA HAO WANAFUNZI NA SI LA TAIFA. WATANZANIA TUACHE KUWACHEKA WANAFUNZI KWANI WAO SI CHANZO CHA TATIZO BALI TATIZO NA CCM NA SERIKALI YAKE, TUNASHUHUDIA MWENYEKITI WA CCM AKITEMBELEA MATAWI YA CHAMA CHAKE KUONA UHAI WA CCM LAKINI HAJAWAHI KUTEMBELEA SHULE KUONA UHAI WA ELIMU KATIKA SHULE ZETU! KWAKE CCM NI MUHIMU ZAIDI YA ELIMU.

    ReplyDelete
  3. jamaa yangu ni ccm na namwona kama anahangaika pekeake kujua nini kinakosekana mashuleni nini tatizo la wanafunzi walimu vipi....but naumia sababu hana support yoyote siku ukiskia anawageni ujue wanakuja kuzungumzia campeni sjui ufunguzi wa nini lakini ishu nyingine hasa elimu ni marachache sana.jamani kidole kimoja hakivunji chawa

    ReplyDelete
  4. Ankal naona kipigo cha juzi walichopata bwawa la maini bado kinakulevya; mbona picha uloiweka siyo ya bungeni na wala siyo ya Ludovick Utoh?? hao ni akina Babu Seya na wanawe!!!! rekebisha ankal

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...