Ebana ankal Kuna Mdau wetu wakaribu ameondokewa na Kausafiri kake kakisasa sana ambacho hata sisi kinatusikitisha kwakweli. Ilikua ni Cadillac Escalade moja nyeupe matata sana Hapa tauni iliyokua inajivinjari sana maeneo Ya Sakina ambayo jana imepata ajali ya moto maeneo ya Mto Nduruma barabara ya Moshi road pale eneo la tukio siuna pajua nazile Speed hump bora kuliko zote Tanzania.
Uwez amini ile gari imeisha imekua kama RAV4 ivi . Ilikua mida ya saa moja ivi jana jioni tukio lakutokea lilitokea ingawa hakuna aliye dhurika pia hakuna kilicho okolewa. Wadau msiweke tu Sticker za Fire Brigerde kwenye kioo angalau kamtungi kakuzimia moto kawepo.
Mdau Arusha
Mdau Arusha



We unadhani moto wa gari utaukabili na kifaya extinguisher? Utaumia bure halafu upate hasara mara mbili - ya mwili wako na ya gari lako.
ReplyDeleteGari ikiwaka moto kimbia, acha bima wakulipe. Ndio kazi ya Bima na ndio maana unashauriwa ukate comprehensive.
Two things involved,,,,either limungua bahati mbaya au....ili insuarance ilipe kama
ReplyDeleteeehh sasa wewe Anko umezidi sasa kama umeamua kutuweka na vifo za magari mmmmh tutawekewe na vya baiskeli sasa!!
ReplyDeleteAnkal, mimi naona kama watu hawawezi kututmia habari kwa lugha ambayo ni ya kueleweka, basi watulie, kuliko kutuletea habari kwa lugha ambayo mie naiita ni ya kipuuzi.
ReplyDeleteKama ni kiingereza, tumia kiingereza, na kama ni kiswahili basi tumia lugha ya taifa hiyo ambayo asili mia kubwa tunaijua.
Sasa mtua napotumia lugha ya mchanganyiko wa ajabu ajabu kama huu, kuna sababu gani ya kutuelewesha habari ambayo haieleweki..?
Hebu tujirekebisheni jamani.
mie binafsi huwa naboreka sana nikutapo habari zimechanganywa kwa lugfha za ajabu ajabu..
Kweli bongo tambarare watu wanakula kilaini,Hizi sticker za zima moto sijui zinasaidia nini?wangekuwa wanakupa basi za vifaa vya kuzimia sawa,lakini ni kikaratasi tu cha kukolezea moto tu gari likiwaka.Wiziii mtuupuuu
ReplyDeleteKaka Ankali,
ReplyDeleteNawashauri wanunuaji wa Magari kutoka marekani wawe makini sana. haya magari yanaonekana makubwa na imara lakini utengenezaji wake ni kama makaratasi (fiber) si kama gari nyingi za japan. Unaona kama hilo Cadilac hiyo "body" ni kama karatasi likishika moto kimbilia na si rahisi kuliddibiti,
Mdau Majuu
Hapo swali la kujiuliza ni kwanini hayawaki moto huku US na canada! Kinachojitokeza hapo ni kwamba kuna uwezekano kabisa kuwa hayo magari hupelekwa kufanyiwa services hasa za kiumeme kwa mafundi uchwara na hivyyo hufanya mfumo wa nyaya (Wiring) mbovu na matokea yake ndio haya. Pia inawezekana kuwa mafuta wanayoweka kwenye gari si masafi hivyo kusababisha uchonmaji (Combustion) kuwa mbaya na kushika moto. Nawakilisha tu.
ReplyDeleteArusha kuna tukio the same lilitokea , na lili toke the same place, lilihusisha range rover vogue,ss ni mawili km mdau hapo juu alivyosema either insuarance ili alipwe lipya ama kweli ajali, ila nampa jamaa pole maana gari ni kali mno
ReplyDeleteHUWEZI KUZIMA MOTO WA GARI NA KI-FIRE EXTINGUISHER NDOGO HUO NI WIZI WA VIGOGO SERIKALINI MRADI WAO
ReplyDeleteacheni ujinga magari hayo watu wanaedesha mpaka engine inazima yenyewekwa km kibao bila kuhunguan itakuwaje zikifika bongo ndio zinaungua moja zinaingia kwa tax exemption (bule) kwaiyo wanaonyesha kiwango halisi cha hiyo gari wakati wameinunua kwenye auction kwa bei poa sana hakifika huko bango ina register hiyo ela kwenye insualense kwaiyo ikiunguzwa pesa hanayopata ni mara mbili ya aliyo nunulia
ReplyDeleteKwa nini haya magari makubwa yakija huko yanaungua? hayajazoea jua au vumbi?
ReplyDeleteAnkal, waambie wadau wakitoa habari kama hizi wawe wanatoa number za gari. sisi watu wa insurance pressure zinapanda, ohhhh
ReplyDeletePoa tu..Japo kuwa wengi mtaona km roho mbaya...Wabongo mnanunua magari ya kifahari km hayo na hali ya barabara na huduma zetu mwazijua...Tumezidi kutoishi na hali halisi ya mazingira yanayotuzunguka.
ReplyDelete