sehemu ya savannah lounge ya Paradise City hotel iliyopo ghorofa ya tatu katika jengo la Benjamin Mkapa Towers jijini Dar ambapo kila jumatano kutakuwa na Charanga Nite kwa ajili ya wapenzi wa ngoma za charanga, salsa, cha cha cha na mirengwe.
ankal na shemejie na asia idarous na mai hazbendi wake walikuwepo usiku huu wa uzinduzi wa Charanga Nite katika Savannah Lounge
Ally Rhemtullah na mbunifu wa mitindo toka zenji walijiunga na kina ankal



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 32 mpaka sasa

  1. ankal hana ushindani kwa kubandika finger prints kwenye migongo ya akina dada zetu.

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  2. ankali nanihiii mimi huwa unanikera sana kwa kweli katika swala moja tu mbona wife huwa hatumwoni kwenye matembezi yako ? ona leo unasema upo na shemeji kwani anti yetu kasafiri? au unambania?

    ReplyDelete
  3. Michuzi mbona Mama unakuwa humchukui sehemu kama hizi alafu unaweka weka finger print kama US Blogger anavyosema si haki. Hizo sehemu za kumchukuwa mama tutaandamana Ankal wanao sie? Usibanie Ankal wewe ndio wetu bwawa la maini oyeeeeee. Pazi

    ReplyDelete
  4. Ankal Ankal kwani Ankal wenu huyu Hapa ndio kashafika ndomana kanishika bega.

    ReplyDelete
  5. Ankal, unona wadau wako walivyokuwa na vichwa vya mbuzi!! umewaambia kuwa upo na shemeji yao lakini bado wanakuuliza mai waifu wako yuko wapi!!!!! nimefurahi sana kumwona shemeji, endelea na kazi hiyo nzuri ya kumtunza. ni bomba.

    ReplyDelete
  6. Kwa kweli shemejiyako kitu... hongera mjomba.

    ReplyDelete
  7. Ankal tunashkuru kwa tarifa ila mbona wazanzibari hatumtambui huyu mbunifu??????????????????????

    ReplyDelete
  8. huyo ndo mrs.michuzi kama mlikuwa hamjui

    ReplyDelete
  9. Abiola Wa Kuchovya, Mikanjuni TangaFebruary 18, 2010

    Ankal, SHEMEJI KULAAAA!!!!!!!!!!
    Teh !! Teh!!! Teh!!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  10. Thamim, OhioFebruary 18, 2010

    Ankal, Unatesa kama JK vile katika anga zako.
    Sasa huyo ni Shemeji yetu wa ngapi??

    ReplyDelete
  11. Ankal, una maana huyo ndiye mai waifu wa Michuzi Jr.?? Haiwezekani, lazima kuna ufisadi unaendelea hapo, mweh!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  12. Ankal mi sikuamini kabisa,kwani kila binti lazima uweke konoz a.k.a finger prints unanitisha! huyo dada picha zote mbili konoz tu mmh!

    ReplyDelete
  13. Kumbe huyo ndo mywife wako. Hongera sana Michuzi na kweli kama una michuzi uwezi kuwa na toto kama hilo.

    Hivi ana mdogo wake nijuze tafadhali

    ReplyDelete
  14. Ankal unatoka na shemeji yako sio?! Anti wetu yuko wapi?

    ReplyDelete
  15. bora mwanangu the fulanaz imepumzika leo

    ReplyDelete
  16. hafadhali mseme nyinyi Viazi nikisema Muhongo eti nini mizizi, heli yenu nyinyi kuku mkija mmekuja mimi bata nimearisha tehteh... Ankal amezidi sasa kila siku mikonoz tu na dada zetu lakini my wife wako no kumuona ili nasi tupige naye konozi..

    ReplyDelete
  17. Ankal shemeji amekubana mbaya nakuona umebana miguu sana picha zote mbili hujakaa comfotable wakati nafasi ipo kubwa tuu pembeni ya shemeji what is wrong with you halahala hebu tuwekee picha ya ya my wife wako pls acha kula konoz na shemejis usiibanie hii

    ReplyDelete
  18. Ankal alikuwa ameisha weka ze Serengeti ya baridi kwa hiyo mwili ulitakajoto kidogo kwa shemejieeeee...Lakini kazi ipo Ankal ni sehemu nyingi unapenda sana kuweka finger print kwa madada sijui ni ugongwa wako au nini?Jitahidi kukwepa hilo maada ma wife kama anasoma brog atazimia sanaaaaaaaa..Karibu Kilombero Ifakara

    ReplyDelete
  19. Ankal, vipi mbona domo limejaa mate?mbona hujibu? mai waifu wako unamuachaga wapi?? Tunasubiri jibu.

    ReplyDelete
  20. Wadau msimuonee ankal kwani ndio kwanza mwaka huu anafikisha miaka 21, so bado yupo yupo kwanza mpk afikishe 30 ndio atampata my wife wake !!!.

    ReplyDelete
  21. Ankal, tunataka tumuone shemeji yetu bana... Mambo ya kutoka na shemejio sio.

    ReplyDelete
  22. KAMA NI SHEMEJI YAKO BASI UNAKULA MANA ALIVYOLEGEA SI BURE MSHATIANA ASHKI HAPO!KAMA SIO MKE WAKO BASI MKE WAKO AKAE AKIJUA ANAIBIWA HAPO HATA HUITAJI DARBINI KUJUA.ACHA USALITI WE MWANAUME,UKIMWI UNAUA!! HALAFU NAHISI MKE WAKO NI KITUKO NDO MANA HUTOKI NAE!YALE YALEE YA OFFICIAL WIFE NA HOME WIFE.tehe tehe

    ReplyDelete
  23. Ankal wewe Ankal wewe Ankal...una mambo wewe unataka tuseme sio basi hatusemi....

    ReplyDelete
  24. teh teh teh teh dah ankal nakutamani sana mwanangumwenyewe ankal dah! sasa hapo inakuwaje hapo kaka??? hiyo picha ya kwanza kaka sijaelewa huyo ni mai waifu wako au?? sasa sijui nitokejetokeje eti kaka vipi niendelee na ugali au?? aargh mi nasonga ugali bwana kama noma na iwe noma kwa hapo uvumilivu umenishinda

    Mdau wa pajazzzz+titizzz

    ReplyDelete
  25. Hahahahah Mie nimeipenda aliyesema hii


    Ankal Ankal kwani Ankal wenu huyu Hapa ndio kashafika ndomana kanishika bega. Kwakwakwakwa hahahahaah hii kaliiiiiiiiii hahahahaha hahahahaha DUH! Sasa kazi michuzi

    ReplyDelete
  26. Bongo kuna wanawake wazuri hivyo???? Loh kumbe huku ughaibuni tunachemsha tu.

    ReplyDelete
  27. Ankal ucholozi mwingi sana I like your life style! Ukitaka kufanya kazi vizuri hasa kazi ya upaparazi na upigaji picha usiwe na mke yeyote unayekutana naye ni company tosha, kwani ukiwa na mke itakuwa ni wivu na balaa tupu. Gooooo ankal kitu kimetulia! Maisha yenyewe haya ni mafupi!!!! kula dunia siku ukizimika tutasema kama kula maisha ankal amekula vya kutosha!! Hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  28. ankal wewe ni kivumbi sikuwezi mwana!!! nisukumie mimi huyo basi ankal na mie nile ugali kwa mboga ya kikwelikweli kila siku mboga ya picha tu kaka mwishowe ntajikuta nakula makaratasi sasa!!

    Mdau wa pajazzz+titizzz

    ReplyDelete
  29. Ankal naona kama vile mmembana huyo bwana Hamsini mpaka anashindwa kupumua,halafu huyo Hamsini miguuni amevaa soksi au ni vumbi? naomba jibu tafadhali.

    ReplyDelete
  30. Jamanin i really love the tall somali lady wa hapo paradise city/savanah lounge..give me her details ankal she is so fine

    ReplyDelete
  31. GUU GUUUUU MWANANGU

    ReplyDelete
  32. mdau mwenye chui chui katikati...suruali njiwa...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...