mwenyekiti wa Fabak Fashions Khamsin Alkaag (mwenye bizbo) na mama wa mitindo Asia Idarous pamoja na afisa toka kampuni ya Darling (kuumeni) wakimkabidhi mbunifu wa mitindo Farha Sultani cheti cha ushiriki katika onesho la mavazi la Lady in Red lililofanyika jumamosi iliyopita hoteli ya Kilimanjaro Kempinski jijini Dar. Farha na wenzie watatu hawakuwahi kukabidhiwa vyeti vyao siku ya shughuli hiyo iliyofana sana. Ndipo usiku huu kukawa na mnuso kwa ajili yao kwenye kiota cha maraha cha Savannah Lounge cha Paradise City Hotel iliyomo ndani ya jengo la Benjamin Mkapa Towers (zamani mafuta house) mtaa wa Azikiwe street.
Mbunifu Ali Rhemtullah akipokea cheti chake
Elizabeth Gupta wa Big Brother III naye alikabidhiwa cheti chake usiku huu
Farha akiwa na nduguze baada ya kupokea cheti chake
ankal akimpongeza Farha kwa konozzz la nanihiiii...
mama wa mitindo Asia Idarous-Khamsin akimkabidhi Elizabeth Gupta cheti chake
Ali Rhemtullah, Asia Idarous, mdau wa mitindo na Farha katika pozi la pamoja
masupa modo wa kiume walikuwepo kuwapongeza Farha na Elizabeth
kama kawa Savannah Lounge palishona...








bango la wadhamini wa Lady in Red 2010










Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. Bi wifi uko wapi?naona konoz zimezidi hasa hapo kwa Farha sitii neno,kalaga baho na ubozi wako!

    ReplyDelete
  2. kama Konoozz ni pesa bali Ankal milionea.

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  3. sasa hivi vyeti ni kama nini kwa wahusika. na unaweza ukavionyesha nchi za nje ukakubalika? yaani hadhi yake ni nini. sina ubaya ni hilo ila nataka kujua.

    ReplyDelete
  4. ankaaallll wapi ze fulanazzzz!!!! kumbe huwa unapendeza without it??!!

    ReplyDelete
  5. hahahhaaaa kweli ankal wee koboko,wadau wanakufundisha ugumu eee?

    hahahahaaa asubui na kicheko

    ReplyDelete
  6. anko, mhuu..!!! si siri ukweli ni kuwa inaonekana mai wako ana moyo kweli na kwakweli anakupenda sana maana kwa utamaduni wako huu wa konozzzz unavozitupia kama ingekuwa mama kirikuu wangu angeshanitema zamani konozzzz zako kwakweli maneno yamenishia konozzz unajuwa pa kiziweka anko

    ReplyDelete
  7. nawe michu huo mkono utakuja kukuponza! unakoelekea ni kuja kukatwa tu!

    ReplyDelete
  8. Baada ya muda mrefu sasa umeelewa Njomba, mkono umekaa sawa sawa. Ngoja nikamwambie jamaa yangu aliyepata Division 0 kwa mara ya tatu arudie tena.

    ReplyDelete
  9. Mzee mzima naona unavyodondokwa na denda huku ukimkumbatia huyo kimwana. Chunga teteeeee

    ReplyDelete
  10. ankal naye hakosi visababu? anatafuta kila njia aendeleze mikonozzz.haha
    Congrats ankal keep bloggin

    ReplyDelete
  11. Bonge la konoz limetuwa penyewe lakini ulitakiwa ushushe kwa chini nusu futi au vp

    ReplyDelete
  12. Daah mkuu wa nonino umekamatia kama kweli vile shauri yako!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  13. Ankal ! Mkonozi!!!karibu na nyonga naniii!? sasa inatbidi lazima nikuripoti kwa kamanda wa FFU hili akushughulikie haraka sana sana na song zake?sasa kweli Ankal hizi konoz!!! jamani?au ndio shemeji yako unaweza kupiga konoziiii namna hii?????

    ReplyDelete
  14. kweli wadau wa blog ya jamii nyie kina mr pajazz nyinyi mnamfundisha ankal vibaya ati awe anakamata viunoz na sio konozzz mwenzenu alikuwa anawapa hishma zao tuu sasa mnataka siku moja tumkute ankal wetu na manunduzz sio enhee? ankal wee jirudie tu kwenye konozz hiyo style ya maunozz itakuwa inapelekea mapigo yako ya moyo kwenda fasta nyonga huwa ni laini babu ohooo!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...