
Hii ni badala ya kumzawadia mdau mmoja mmoja. Hivyo mdau kaa chonjo mara tu hesabu itapogota 8,000,000 lete haraka jina na anuwani yako utumiwe ze fulanazzz ya Globu ya Jamii kama inavyoonekana hapo juu. Hakuna malipo na utapoleta jina na anuani utatumiwa popote ulipo ulimwnguni...
Sina uwezo kwa kumshukuru mdau mmoja mmoja kwa kampani baab'kubwa mnayotoa kwa Globu ya Jamii, ingawa iko siku panapo Majaaliwa kila mdau atapata zawadi.
Hao wataobahatika naomba wajione na wajulikana kuwa ndio wawakilishi wa wadau wote ambao nawapenda na kuwaheshimu sana kwa kutembelea Globu ya Jamii kila kukicha.
Bila ninyi nyote Libeneke hili lisingefika hapa.
Asanteni sana sana sana....
-Michuzi
Kesho panajaa hapa nakwambia, ngoja nikae mkao wa kula nione watavyobanana na kuanza kulalama.
ReplyDeleteSenkyu Ankal Mechoodhe kwa dhawadi.
naona vijaba wanauza sura !!sorry afagiliwi mtu hapa. yafagiliwa pesa
ReplyDeleteebwanaa ehh globu letu la jamii na mkuu wetu wa wilayaaa ya nahiii!we mwaga pambaz hizo mkuu maana summer ndo inatupiga chabo kwa mbalii.
ReplyDeletemdau kigali makazi boxini
Mr M.Kobole p.o.box 8769 Dar.'nasubiri the fulanaz.
ReplyDeleteKaka ngoja na mie nijaribu bahati yangu safari hii. HONGERA KWA UTUMISHI MWEMA KWA JAMII.
ReplyDeleteMaggid
Iringa.
Si kila mtu atataka kukutumia email na address yake......jinsi ya kushiriki?
ReplyDeleteSifahamu! hao wote watakao pata watakuwa washindi wa milioni 8 tu, au kuanza 8,000,000-8,000,001-8,000,099.
ReplyDeleteMsaada kwenye tuta kwa hilo!
NA WAKIPATA FULANA HIZO WAPIGE NAZO PICHA TUWAONE SURA ZAO.
ReplyDelete... Tunaruhusiwa kufua na kuvaa tena? au tukishafua ndo imetoka?
ReplyDeleteankal mimi sitaki kushinda wala nini hebu plz nipatie zefulanaz ya bure bila jasho mdau magharibi.
ReplyDelete