Mchora katuni maarufu barani Afrika Godfrey Mwampembwa a.k.a GADO wiki hii ametamba sana katika CNN pale alipofanya mahojiano ya zaidi ya nusu saa na kituo hicho cha kimataifa. Pichani juu anaonekana akielezea kipindi kipya cha 'XYZ' kinachohusu katuni za mambo ya siasa
GADO akipigwa swali leo
GADO akijibu kwa ufasaha na weledi wa hali ya juu. Hii si mara ya kwanza kwa GADO, ambaye ni Mmbongo anayefanyia shughuli zake kwa watani wetu wa jadi jijini Nairobi, ila sema safari hii alifunga kazi katika kipindi cha CNN cha 'AfricanVoices' kilichoonekana dunia nzima wiki hii.
Mahojiano hayo ya leo bado kuwekwa mtandaoni.
Hata hivyo kuna mahojiano ya awali ambayo ukitaka kusikiliza na kusoma
MWAMPEMBA HONGERA SANA KWA KUPEPERUSHA BENDERA NA JINA LA NCHI YETU. JITAHIDI KUPROMOTE VIPAJI VYA WACHORAJI VIJANA ILI WARITHI TAALUMA HII MUHIMU KWA JAMII.
ReplyDeletekipit up gado
ReplyDeletealeluyaaaa
ReplyDeletesafi sana GADO na zidi kututoa kimasomaso,ila duh watani hawakawii kujitamba wee wa kwao!!
UNAJIBU MASWALI KAMA PROFESSA VILE...KAMA PHD VILE....CONGRATS BRO!
ReplyDeleteKwenye interview uwe unataja taja tanzania, dar es salaam na kwenu Mbeya ili watani zetu wasije wakakubinafsisha kama wanavyojitahidi kuubinafsisha mlima nanihii....Ndaga fijo!!
ReplyDeleteGADO uko juu.
ReplyDeleteMwana wa Azania (kitukuu cha Major) the Law never die.
Big up.
mwenzangu hawa jirani hawakawii kusema we ni wa kwao mana wametuibia mlima,wakaiba wimbo wetu wa malaika wakamuuzia msauzi miriam makeba hawakawii sema we mtz kaka we are proud of u mi mwanangu anapenda kuchora nimemuon yesha za kwako anasema anataka kuwa kama wewe
ReplyDeletembona CNN wanasema Gado ni mkenya, yaani wametamka kabisa kwamba he is a Kenyan Cartoonist.
ReplyDeleteMichuzi hebu fafanua hapa au mtafute Gado. Labda amebadilisha uraia.