Mahojiano hayo ya leo bado kuwekwa mtandaoni.
Hata hivyo kuna mahojiano ya awali ambayo ukitaka kusikiliza na kusoma
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
MWAMPEMBA HONGERA SANA KWA KUPEPERUSHA BENDERA NA JINA LA NCHI YETU. JITAHIDI KUPROMOTE VIPAJI VYA WACHORAJI VIJANA ILI WARITHI TAALUMA HII MUHIMU KWA JAMII.
ReplyDeletekipit up gado
ReplyDeletealeluyaaaa
ReplyDeletesafi sana GADO na zidi kututoa kimasomaso,ila duh watani hawakawii kujitamba wee wa kwao!!
UNAJIBU MASWALI KAMA PROFESSA VILE...KAMA PHD VILE....CONGRATS BRO!
ReplyDeleteKwenye interview uwe unataja taja tanzania, dar es salaam na kwenu Mbeya ili watani zetu wasije wakakubinafsisha kama wanavyojitahidi kuubinafsisha mlima nanihii....Ndaga fijo!!
ReplyDeleteGADO uko juu.
ReplyDeleteMwana wa Azania (kitukuu cha Major) the Law never die.
Big up.
mwenzangu hawa jirani hawakawii kusema we ni wa kwao mana wametuibia mlima,wakaiba wimbo wetu wa malaika wakamuuzia msauzi miriam makeba hawakawii sema we mtz kaka we are proud of u mi mwanangu anapenda kuchora nimemuon yesha za kwako anasema anataka kuwa kama wewe
ReplyDeletembona CNN wanasema Gado ni mkenya, yaani wametamka kabisa kwamba he is a Kenyan Cartoonist.
ReplyDeleteMichuzi hebu fafanua hapa au mtafute Gado. Labda amebadilisha uraia.