Mlinzi wa timu ya Mafunzo ya Zanzibar , Haji Abdi Hassani (kushoto) akichuana na mchezaji wa Gunners Fc ya Zimbabwe, Qadr Amini wakati wa mchezo wa Ligi ya Mabingwa uliofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar leo. Gunners ilishinda 2-1

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. MAXIMO HAFAI!

    ReplyDelete
  2. kwa tanzania hii soka ya kimataifa inawezwa na SIMBA SC tu hizi timu nyingine zote michosho. simba huwa haifungwi nyumbani hata kama itacheza na timu kubwa sana afrika iwe zamaleki, al ahly enyimba nk huwa zinaifunga simba ugenini tu. sasa hao yanga ni aibu tu ishakuwa kama desturi kuja kupigiziwa kwenye uwanja wa nyumbani kwao. aibu!!!! wanajua fitina za jinsi ya kuchukua kombe la ligi kuu tanzania lakini wakitoka nje hovyoooooooooo!!!

    ReplyDelete
  3. Mbona matokeo ya YANGA hujabandika? au kwa vile wamepewa kichapoooo.
    AIbuuuuuu haaa haaaa.
    http://news.bbc.co.uk/sport2/hi/football/africa/8515109.stm

    ReplyDelete
  4. WE ANONY WA PILI ACHA UONGO.. KWANI ENYIMBA 3-1 ALIMFUNGIA SIMBA WAPI? NA WALE WAMAKONDE NAO WALIITOA SIMBA WAPI MWAKA MAJUZI?

    KAZI KUGENERALIZE MAMBO TUU KAMA VILE WATU HUWA HAWAFUATILII MPIRA..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...