Hepi Besdei 2 YUUUUUU
Hepi Besdei 2 YUUUUUU
Hepi Besdei 2 YUUUUUU
Hepi Besdei 2 YUUUUUU dear Najmaaaaaa....
Hepi Besdei 2 YUUUUUU

Leo Tarehe 17.02.2010 Ni siku ya kuzaliwa Binti yetu Najma Mfundo, ambaye ametimiza miaka 13. Mimi Baba Na mama yako tunakutakia maisha mema, na tunakuombea kwa mwenyezimungu akupe uwezo wa kufanya vizuri katika masomo yako hapo shuleni Ali Hassan Mwinyi Primary(Academy) School Mlalakuwa JKT Kawe. Pia tunakuombea maisha marefu na afya njema.

Mfundo Peter Mfundo
Ujerumani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 18 mpaka sasa

  1. Kila la kheri mungu akuzidishie maisha na afya njema ili usome na kufaulu vizuri. With love aunt vicky

    ReplyDelete
  2. Happy Birthday Najma

    Hongera sana, M.Mungu akujaalie maisha mema yenye kheri na fanaka tele.

    Fatma Mfundo aka aunt F

    ReplyDelete
  3. Hongera sana, hivi Ali Hassan Mwinyi ni shule nzuri? natafuta shule ya mtoto wangu

    ReplyDelete
  4. Oh hongera sana dear!I know u since mdogo.She is so cute!HAPPY BDAY!ROSE H!!!be blessed!

    ReplyDelete
  5. HAPPY BIRTHDAY DEAR NAJU, HAPPY BIRTHDAY TO YOU!!!! ALLAH AKUBARIKI SIKU YA LEO AKUEPUSHE NA KILA SHARI AKUSIMAMISHE DUNIANI NA KESHO AKHERA. WAZAZI NANYI HONGERENI SNANA KWA SIKU YA LEO. PIA BIBI NA KINA SHANGAZI NA WAJOMBA.
    LOTS OF LOVE. MAMA GIGI

    ReplyDelete
  6. MUNGU AKUKUZE NA AKULINDE NA MAOVU.HONGERA KWAKO NA MAMA NA BOMBAY WALA. BY UNCLE SHELLY

    ReplyDelete
  7. mungu akubariki sana!! akupe afya njema na baraka tele, hekima na busara.
    Happy berthday, Najma!!!
    mjomba, john

    ReplyDelete
  8. happy birthday naju, hope siku yako leo itakuwa nzuri na ya kukumbukwa and may Allah bless you with all the good fortune of the blessed combined. lots of love. Rose. xx

    ReplyDelete
  9. Die Famillie Mfundos hongereni sana. Alles gute Najma
    bambino

    ReplyDelete
  10. Its your b'day and this comz 2 make some very specialwishes with lots of affection and deep regards especially for u. Happy birthday lil sis.

    Munirah Mfundo

    ReplyDelete
  11. On your birthday you are always wished with wonderful moments n beautiful dreams n may God bless u with them n guide u in the right path . Happy Birthday dear

    Nasra Hamis a.k.a SweetNash

    ReplyDelete
  12. Or jamani this is so sweet,umependeza mpenzi sana,Happy Bd my dear ashu mamy may alla bless u akupe afya njema na akujalie yale yote yaliyo meme Inshalla,Hongereni mr &mrs mfundo kwa kukuza, bibi, na akina aunt mungu awajalie kwa mapenzi yenu mnayo mpa huyu mrembo wetu,Love u my dear mwaaaa,aunt Naima london

    ReplyDelete
  13. Hi! Najma Bint Mfundo,
    Hongerea sana kwa kusherekea siku yako ya kuzaliwa! kaza buti katka masomo bint.
    The Ngoma Afr!ca band aka FFU,
    Ujeuri man

    ReplyDelete
  14. Happy b/day baby gal may u live to blow 1001 candles. work hard in school and make ur parents proud.

    ReplyDelete
  15. Hi Najma,Happy Birthday to u,Mimi pamoja na Wazazi wako hapa Ujerumani. Tunakutakia Siku nzuri ya Kuzaliwa,isherekee vizuri na ipendeze.Tunakutakia "All the best"Kimasomo na yote katika maisha yako,salaam,uncle Joki

    ReplyDelete
  16. happy birthday babygirl may the good lord watch over you each and every day may He protect you and guide your ways. happy birthday. mama nira

    ReplyDelete
  17. Hi Najuuuu!!!!!!!! Hapi Besdei nakutakia kila la heri katika siku yako ya kuzaliwa, nakutakia maisha marefu na afya njema na afya njema
    Mimi Mama Nira Germany

    ReplyDelete
  18. Hey Najuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu, unakua mtoto wangu mzuri, wishing you all the good in your life.
    Ni mimi Baba Khalid

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...