
Hepi Besdei 2 YUUUUUU
Hepi Besdei 2 YUUUUUU
Hepi Besdei 2 YUUUUUU
Hepi Besdei 2 YUUUUUU dear Najmaaaaaa....
Hepi Besdei 2 YUUUUUU
Leo Tarehe 17.02.2010 Ni siku ya kuzaliwa Binti yetu Najma Mfundo, ambaye ametimiza miaka 13. Mimi Baba Na mama yako tunakutakia maisha mema, na tunakuombea kwa mwenyezimungu akupe uwezo wa kufanya vizuri katika masomo yako hapo shuleni Ali Hassan Mwinyi Primary(Academy) School Mlalakuwa JKT Kawe. Pia tunakuombea maisha marefu na afya njema.
Mfundo Peter Mfundo
Leo Tarehe 17.02.2010 Ni siku ya kuzaliwa Binti yetu Najma Mfundo, ambaye ametimiza miaka 13. Mimi Baba Na mama yako tunakutakia maisha mema, na tunakuombea kwa mwenyezimungu akupe uwezo wa kufanya vizuri katika masomo yako hapo shuleni Ali Hassan Mwinyi Primary(Academy) School Mlalakuwa JKT Kawe. Pia tunakuombea maisha marefu na afya njema.
Mfundo Peter Mfundo
Ujerumani
Kila la kheri mungu akuzidishie maisha na afya njema ili usome na kufaulu vizuri. With love aunt vicky
ReplyDeleteHappy Birthday Najma
ReplyDeleteHongera sana, M.Mungu akujaalie maisha mema yenye kheri na fanaka tele.
Fatma Mfundo aka aunt F
Hongera sana, hivi Ali Hassan Mwinyi ni shule nzuri? natafuta shule ya mtoto wangu
ReplyDeleteOh hongera sana dear!I know u since mdogo.She is so cute!HAPPY BDAY!ROSE H!!!be blessed!
ReplyDeleteHAPPY BIRTHDAY DEAR NAJU, HAPPY BIRTHDAY TO YOU!!!! ALLAH AKUBARIKI SIKU YA LEO AKUEPUSHE NA KILA SHARI AKUSIMAMISHE DUNIANI NA KESHO AKHERA. WAZAZI NANYI HONGERENI SNANA KWA SIKU YA LEO. PIA BIBI NA KINA SHANGAZI NA WAJOMBA.
ReplyDeleteLOTS OF LOVE. MAMA GIGI
MUNGU AKUKUZE NA AKULINDE NA MAOVU.HONGERA KWAKO NA MAMA NA BOMBAY WALA. BY UNCLE SHELLY
ReplyDeletemungu akubariki sana!! akupe afya njema na baraka tele, hekima na busara.
ReplyDeleteHappy berthday, Najma!!!
mjomba, john
happy birthday naju, hope siku yako leo itakuwa nzuri na ya kukumbukwa and may Allah bless you with all the good fortune of the blessed combined. lots of love. Rose. xx
ReplyDeleteDie Famillie Mfundos hongereni sana. Alles gute Najma
ReplyDeletebambino
Its your b'day and this comz 2 make some very specialwishes with lots of affection and deep regards especially for u. Happy birthday lil sis.
ReplyDeleteMunirah Mfundo
On your birthday you are always wished with wonderful moments n beautiful dreams n may God bless u with them n guide u in the right path . Happy Birthday dear
ReplyDeleteNasra Hamis a.k.a SweetNash
Or jamani this is so sweet,umependeza mpenzi sana,Happy Bd my dear ashu mamy may alla bless u akupe afya njema na akujalie yale yote yaliyo meme Inshalla,Hongereni mr &mrs mfundo kwa kukuza, bibi, na akina aunt mungu awajalie kwa mapenzi yenu mnayo mpa huyu mrembo wetu,Love u my dear mwaaaa,aunt Naima london
ReplyDeleteHi! Najma Bint Mfundo,
ReplyDeleteHongerea sana kwa kusherekea siku yako ya kuzaliwa! kaza buti katka masomo bint.
The Ngoma Afr!ca band aka FFU,
Ujeuri man
Happy b/day baby gal may u live to blow 1001 candles. work hard in school and make ur parents proud.
ReplyDeleteHi Najma,Happy Birthday to u,Mimi pamoja na Wazazi wako hapa Ujerumani. Tunakutakia Siku nzuri ya Kuzaliwa,isherekee vizuri na ipendeze.Tunakutakia "All the best"Kimasomo na yote katika maisha yako,salaam,uncle Joki
ReplyDeletehappy birthday babygirl may the good lord watch over you each and every day may He protect you and guide your ways. happy birthday. mama nira
ReplyDeleteHi Najuuuu!!!!!!!! Hapi Besdei nakutakia kila la heri katika siku yako ya kuzaliwa, nakutakia maisha marefu na afya njema na afya njema
ReplyDeleteMimi Mama Nira Germany
Hey Najuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu, unakua mtoto wangu mzuri, wishing you all the good in your life.
ReplyDeleteNi mimi Baba Khalid