Home
Unlabelled
JK afungua Mkutano Mkuu wa TAKUKURU jijini Mwanza leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kikwete wapeleke hao viongozi wa kuzuia rushwa nchini marekani wajifunze toka kwa wenzao wanavyofanya taasisi inayoitwa FBI yenye majukumu kama hayo katika taifa na state zote. Nimeshuhudia jamaa walivyojiingiza kwenye nyavu zilizotegeshwa na hakuna pakutokea. Gavana wa Chicago yuko wapi? Kuna mbunge wa Memphis kwa miaka 32 alishtukia kanaswa na urimbo ashindwe hata kutikisika alipo. Hiyo ni mifano michache tu. Bongo tambarare kula na wamegee kigodo hao wa ..... mambo yameisha. Polisi anapofanya kazi zake anavyo vyombo vya mawasiliano lakini hawaweki on asijetambuliwa anapoomba chochote. Hizi radio ni za nini za nini? Wenzao polisi awapo kazini walio ofisini wanamwona kila kitendo anachofanya kwa video na hata kurekodi yote picha na mazungumzo, hapo cho chote utakipataje?
ReplyDeleteHapo ni fulu muziki, fisadi hageuki. Kushoto Hosea, kulia Simba. Maswaaali? Hakuna, endesha!
ReplyDeleteCandid Scope, huyo ni Gavana was Illinois, siyo Chicago. Chicago ni mji ambao una meya, siyo gavana. Na yule mbunge ni wa Lousiana siyo Memphis. Point ni nzuri lakini ukitoa data za kijiweni inakuwa noma.
ReplyDeleteJe Takururu ina TOVUTI yake yenyewe? Kwa nini mambo ambayo siyo classified tusipewe na sisi tukayaona? Wanaogopa nini kuweka vitu vyote PUBLIC?
ReplyDeletehii mashine ni sony wx1 pnoramic view au
ReplyDelete