Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia Rushwa TAKUKURU Dr. Edward Hosea akimkaribisha Rais Jakaya Mrisho Kikwete kufungua mkutano mkuu wa Mwaka wa taasisi hiyo unaofanyika mjini Mwanza leo asubuhi.


JK akiwahutubia viongozi waandamizi wa TAKUKURU wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa taasisi hiyo mjini Mwanza leo asubuhi. Shoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Utawala Bora), Mh. Sophia Simba na kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Dk. Edward Hosea

JK akihutubia viongozi waandamizi wa TAKUKURU wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa taasisi hiyo mjini Mwanza leo asubuhi.
Baadhi ya maafisa waandamizi wa Taasisi ya Kuzuia Rushwa TAKUKURU wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Taasisi hiyo mjini Mwanza leo asubuhi katika ukumbi wa Benki Kuu




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Candid ScopeFebruary 25, 2010

    Kikwete wapeleke hao viongozi wa kuzuia rushwa nchini marekani wajifunze toka kwa wenzao wanavyofanya taasisi inayoitwa FBI yenye majukumu kama hayo katika taifa na state zote. Nimeshuhudia jamaa walivyojiingiza kwenye nyavu zilizotegeshwa na hakuna pakutokea. Gavana wa Chicago yuko wapi? Kuna mbunge wa Memphis kwa miaka 32 alishtukia kanaswa na urimbo ashindwe hata kutikisika alipo. Hiyo ni mifano michache tu. Bongo tambarare kula na wamegee kigodo hao wa ..... mambo yameisha. Polisi anapofanya kazi zake anavyo vyombo vya mawasiliano lakini hawaweki on asijetambuliwa anapoomba chochote. Hizi radio ni za nini za nini? Wenzao polisi awapo kazini walio ofisini wanamwona kila kitendo anachofanya kwa video na hata kurekodi yote picha na mazungumzo, hapo cho chote utakipataje?

    ReplyDelete
  2. Hapo ni fulu muziki, fisadi hageuki. Kushoto Hosea, kulia Simba. Maswaaali? Hakuna, endesha!

    ReplyDelete
  3. Candid Scope, huyo ni Gavana was Illinois, siyo Chicago. Chicago ni mji ambao una meya, siyo gavana. Na yule mbunge ni wa Lousiana siyo Memphis. Point ni nzuri lakini ukitoa data za kijiweni inakuwa noma.

    ReplyDelete
  4. Je Takururu ina TOVUTI yake yenyewe? Kwa nini mambo ambayo siyo classified tusipewe na sisi tukayaona? Wanaogopa nini kuweka vitu vyote PUBLIC?

    ReplyDelete
  5. hii mashine ni sony wx1 pnoramic view au

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...