Angalizo: Mnikulu ni kama mratibu mkuu anayesimamia
shughuli zote zinazofanyika Ikulu kama vile dhifa, kupokea wageni wa ndani na wa nje kwa itifaki zote. Ni kama meneja wa Ikulu. Kwa kimombo ni State House Comptroller.
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mnikulu ni nini au ni cheo gani, msaada plz
ReplyDeleteduh,na uswahili wangu wote yaani sijawahi kulisikia hilo neno hata siku moja.Ndio maana yake nini mnikulu? does it mean someone working in ikulu?
ReplyDeletePoleni sana wafiwa. Michuzi tunaomba ufafanuzi mnikulu ni nini hasa? Nadani kama inahusiana na mambo ya ikulu ila nini hasa?
ReplyDeleteMzozaji
MNYIKULU- Hili ni neno la kinyamwezi lilikokuwa likitumiwa wakati ule wa utawala wa kitemi, Mtemi Mirambo wa wanyamwezi alikuwa na wasaidizi wake, hawa walikuwa wakiitwa "Wanyikulu" kwani nyumba ya mtemi ilikuwa ikiitwa "IKULU" sehemu ambapo maamuzi ya vita na mipango yote ya kiutawala inafanyikia. Hivyo basi sisi wanyamwezi tulikuwa tunawaita wasaidizi wa mtemi kuwa ni "WANYIKULU" ambao walikuwa na dhamana ya kuhakikisha mambo yote ya kiutawala yanaenda kama kawaida wakisaidiwa na "MAKATIKILO"-hawa ni kama wajumbe wapeleka habari.
ReplyDeleteAnkal! shukrani sana kwa kutusaidia maana ya neno hilo!maana
ReplyDeletehata mjomba Mpoto nae aligonga ukuta kwa kutolijua neno Mnikulu
POLENI SANA FAMILIA,NAWAFAHAMU TOKA KIPINDI KILE MPO SINGIDA PALE MZEE NA MAMA WOTE WALIKUWA NI MARAFIKI WA FAMILIA YANGU KULE,NIMEPOKEA KWA HUZUNI SANA KIFO CHA MZEE WETU.
ReplyDeleteMUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALA PEPA PEPONI.
Jamani Mnikulu ni State House Controller kwa lugha ya ungenge. Yaani shughuli yeyote Ikulu haiendi bila idhini ya Mnikulu.Wanikulu waliopita ni F. Kuzilwa na A. Itatiro
ReplyDeleteInakuwaje nyie vijana ambao mnajifanya mmeenda shule hata maana ya mnikulu hamjui? In english anaitwa State House Comptroller. Huyu ndiye msimamizi wa masuala yote yanayohusu house keeping ya ikulu kama vile mahitaji ya chakula, vinywaji nk kwa matumizi ya Rais binafsi au na wageni waalikwa pale ikulu. Aidha mandhari ya kwenye bustani, usafi wa mazingira ni kazi yake. Ndiyo maana utaona sikukuu ya idd au pasaka/xmas misaada inayotolewa na Ikulu utamuona Mnikulu ndiye anaetoa kwa niaba ya Rais.
ReplyDeletehahaha hapo juu mnikulu eti ikulu,IKULU NI HEKALU NDANI YA MARAHA YOTE MZEE HADI VIMADA TOP TEN NDIO WANAINGIA WAGENI WANABULUZA KAMA KAWA,
ReplyDeleteHuyu bwana alipenda sana kuangalia maslahi ya waandishi wa habari wakati wa safari za rais mikoani na hata nje ya nchi. Binafsi nimehuzunika sana na msiba huu. Nakumbuka nilikuwa na-cover ziara ya rais Kigoma two years ago na tulipofika Kasulu nilikosa mahali pa kulala. Rajabu alihakikishia nimepata sehemu ya kutia mbavu. Go in peace my brother. Mdau - Daily News
ReplyDeleteivi nyie uko juu mnaouliza maana ya neno hili ina maana HAMUONI maelezo apo chini ya izo picha?wanga tu
ReplyDeletepoleni wafiwa mungu awatie nguvu sana na muishi kwa amani wote
ofkoz kiswahili hatukijui kbs ata me sijawai sikia ili neno dah!adi aibu sana!!!ila neno limetulia
Chiku, Amina, Hawa na Zainabu poleni mungu awape nguvu ktk wakati huu mgumu.
ReplyDeleteNa nyie hapo juu balada ya kutoa pole mmekaa mnang'ang'ania kujua maana ya neno mnikulu wakati michu keshawaelezea.
this shows that he was loved more than anybody,If we love him too, we have to stay strong while having peace and faith that one day we will meet him. poleni wafiwa wote lets stay strong.
ReplyDelete