Tanzanian delegation including the Minister for Trade Industries and Marketing Dr.Mary Nagu (Second Right), Zanzibar Minister for Tourism Samia Hassan Suluhu(third Right) and Tanzania Investment Centre TIC Executive Director Emanuel Ole Naiko(right).Flanking the President(fourth right) is the President of Turkey Confederation of Businessmen and Industrialists TUSCON Mr.Rizanur Meral.The President had shortly addressed the Turkey-Tanzania Business Forum in Instabul this afternoon.

wadau wa EDIRNE ndani ya nyumba
ReplyDeletepicha ya tatu kutoka chini.Mjomba mwenye suti ya Silva vipi tena pale??? kitu cha kiatu akijatulia kabisa chini ama Suti umeazima kaka kupigia picha na mr prezedo
ReplyDeleteEbwanaee hii imetulia naona vijana
ReplyDeletehapo wanang'aa sana. Naona vijana wametoka fresh wakiwa na mheshimiwa raisi
Suti kwa raba mtoni unaenda kupiga picha na Dr. Rais?
ReplyDeleteI say Jakaya Kikwete ni Obama Mdogo wa Africa....Jakaya Oyeeeeeeeee!
ReplyDeleteMdau Canada
kaka nasikia man uuu kaanguka watu wa uk tupe taarifa please mbona hamsemi michuzi kabana kuweka taarifa
ReplyDeletemdau man ciy
Kumbe kandege ka rais wetu kana kata anga bado!! mimi nilidhani kalisha kufilia mbali...kumbe heri angalau kanapeperusha nembo ya TZ
ReplyDeletekawaıda 2 suti na raba siku hizi.sio zamani sheria za mkoloni ulaya poa 2.big up vijana..
ReplyDeletewewe unayesema kadege ketu hujuı ziara ya mueshımiwa hapa turkey ımekuwa na manufahaa makubwa mtaletwa chuo kıkuu kıngene huko bongo baada ya kıle cha dodoma.NAONA kıkwete na wataalım wake wa baadae.
ReplyDeletebigup vijana mmetuwakilisha.mmetoka bomba sana namuona Asca, Bakari,Jumanne na wengineo. Mungu ibariki Tanzania!
ReplyDeleteMdau Izmir.
Asca mwe! umetoka chicha ng'wana wane utasema we ndo kasecretary ka president.
ReplyDeletemdau GAZIANTEP
naona matozi kibao wanauza sura
ReplyDeletemasuti nini,aminia faridi,mtoto ushapata kazi kutoka sasa,pamba imekutoa,ila wengine mnaharibu picha mnavaaga chotara
ReplyDeletewe nyau kama manuu kaanguka si uingie google usachi umbea tuu mbona nyie mkiangukia pua huleti mashauzi yako ushuzz humu ndani wanaume wengine wakuna nazi kweli umbea tuuu ka wakaa vibarazani
ReplyDeleteni kweli hao wadau wamepiga picha na mr presidenti suti zao kubwaaaa sijui vipi mliazima au?? suti na raba mh!!
ReplyDelete