Deo Mwanambilimbi (kati) akiongoza kikosi kizima cha Kalunde Band kusherehekea kwa mpigo siku ya wapendanao pamoja na hepi besdei ya nne ya kuzaliwa bendi hio ukumbi wa Rainbow Club Mbezi Beach jijini Dar usiku wa kuamkia leo
Bosi wa Kalunde Band akiongea usiku wa kuamkia leo katike sherehe za kutimiza miaka minne ya kundi hilo linalokuja juu kwa kasi kwenye ukumbi wa Rainbow Mbezi beach jijini Dar. Kalunde band ilizaliwa siku ya wapendanao miaka minne ilopita kwa kufanya shoo yake ya kwanza Giraffe hotel jijini.
Fabak Fashion walikuwepo kuonesha mavazi

mama was mitindo Asia Idarous-Khamsin na mamodo wake walioonesha mavazi

wadau wa 'chui chui' nao pia walikuwepo
ankal akiwa na anko Khamsin na wadogo zake profeshno pleya Haruna Moshi Boban

mama wa mitindo huimba pia








Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Michuzi kabadilisha nguo kapendeza. Kwa nini anaipenda ile fulana yake ya siku zote?

    ReplyDelete
  2. ankal hongera umenunua shati jipyaaaaaaaaaaaaaaaaa...kwi kwi kwi...

    ReplyDelete
  3. Profeshno 'player'-unatusha.

    ReplyDelete
  4. Hao sio wadogo zake Haruna Moshi bali ni Kaka zakee, Huyo aliye kulia mwa Khamsini Iddi Shurungu ni mkubwa anaitwa Mrisho Moshi aliwahi kuichezea Simba Sports Club,anayemfuatia ni Iddi Moshi aliyeichezea Yanga Africa. Hamsini ni mjomba wao kabisa hao mabwana na asili yao kabisa ni Kigoma na si Tabora kama watu wengi wajuavyo, ila walilowea Tabora. Bwana michuzi, muulize Hamsini LWICHE lini? Baba yao alikuwa T.T mashuhuri wa shilika la Leri T.T Moshi. Mdau wa Kashinde

    ReplyDelete
  5. sasa Ankal kukumbatia maji ya KLM ndio kuikana chui chui yako au vipi? Ankal glass yenye maji ya dhahabu inakushitaki

    ReplyDelete
  6. Natafuta bata wangu....aee wetu hatoki bandani,yule si wako niwa ngu, aee hemu cheki kiunoni, ananitia machungu..ayee basi nenda kituoni! Ha bwana misupu wenda wapi na hilo jisamaki? Naenda zangu dubai, ha ha ha Dubai hawali samaki siku hizi, wala BATA!

    ReplyDelete
  7. Ankal misupu, umeskia habari ya Rafa Benitez? Wame m'bandua watu telee!! Basi na wewe ulikuepo! Aa mie ndo nlozibandika tena picha zake!
    Ankal misupu, wali wa kunde ukitiwa vidole waoza?

    ReplyDelete
  8. Hello Michu,

    Huyo mdada aliyevaa nguo iko juu kidogo ya magoti, nyekundu, picha za Kalunde ya mwisho, yupo katikati anatisha jamani mie mwenzenu kaniacha hoi...!! Ana umbo zuri la kufa mtu,Miguu husiseme, hata huku Ughaibuni mie sijaona...!!. I wish ningepata opportunity ya kuwasiliana nae wazee.

    Dau.
    USA.

    ReplyDelete
  9. wadau wa chui-chui inaelekea nyie gym mgogoro na sula la kuwa overweight haliwasumbui maana hizo ni plus sizes. No offence, obesity causes death related conditions such as diabetes, heart diseases and many physical complications.

    ReplyDelete
  10. picha ya mwisho ndo kali kupita zote. imekwenda shule c'mchezo teh teh teh teh teh mtaalam kwa kulenga nakuaminia sana babake teh teh teh aaaaaanha!! teh teh teh mwaka nisiponenepa sijui tu teh teh teh teh!!
    Mdau wa pajazzz+titizzz

    ReplyDelete
  11. Kaka 50 wa Lukamba uko juu, wifi langu linajihahidi ile mbaya, kukuweka kakita standard unayostaili; mimi na wajomba zako tunamfagilia sana huyu dada,anakupatia sana kimavazi, halafu mnavyo mechisha sasa mpaka mnaudhi bwana sio siri,kumbe kaka langu wamo, zile rasta mmm ata bwana loo,lakini usinikasirikie, nakupenda, nikija bongo nitakutafuta, mwanaume matunzo bwana sio wanawake tu, wanaostahili kutunzwa jamani, ASANTE WIFI. mdogo wako UK

    ReplyDelete
  12. Hee? Kumbe Michuzi anavaaga vizuri siku zingine. Safi

    ReplyDelete
  13. Ankali usituvunge unakunywa maji ya Uhai, hiyo glass mbele yako mbona haina mwenyewe???

    Naungana na mdau hapo juu, binti aliyemtaja hata mimi kansisimua maungo yangu haswaa. Duuu, ni bomba sana.

    Ankali ujumbe umefika.Picha zooote hizo message ni hiyo totos. Imeenea kusema kweli.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...