Deo Mwanambilimbi (kati) akiongoza kikosi kizima cha Kalunde Band kusherehekea kwa mpigo siku ya wapendanao pamoja na hepi besdei ya nne ya kuzaliwa bendi hio ukumbi wa Rainbow Club Mbezi Beach jijini Dar usiku wa kuamkia leo
Bosi wa Kalunde Band akiongea usiku wa kuamkia leo katike sherehe za kutimiza miaka minne ya kundi hilo linalokuja juu kwa kasi kwenye ukumbi wa Rainbow Mbezi beach jijini Dar. Kalunde band ilizaliwa siku ya wapendanao miaka minne ilopita kwa kufanya shoo yake ya kwanza Giraffe hotel jijini.
Fabak Fashion walikuwepo kuonesha mavazi





Michuzi kabadilisha nguo kapendeza. Kwa nini anaipenda ile fulana yake ya siku zote?
ReplyDeleteankal hongera umenunua shati jipyaaaaaaaaaaaaaaaaa...kwi kwi kwi...
ReplyDeleteProfeshno 'player'-unatusha.
ReplyDeleteHao sio wadogo zake Haruna Moshi bali ni Kaka zakee, Huyo aliye kulia mwa Khamsini Iddi Shurungu ni mkubwa anaitwa Mrisho Moshi aliwahi kuichezea Simba Sports Club,anayemfuatia ni Iddi Moshi aliyeichezea Yanga Africa. Hamsini ni mjomba wao kabisa hao mabwana na asili yao kabisa ni Kigoma na si Tabora kama watu wengi wajuavyo, ila walilowea Tabora. Bwana michuzi, muulize Hamsini LWICHE lini? Baba yao alikuwa T.T mashuhuri wa shilika la Leri T.T Moshi. Mdau wa Kashinde
ReplyDeletesasa Ankal kukumbatia maji ya KLM ndio kuikana chui chui yako au vipi? Ankal glass yenye maji ya dhahabu inakushitaki
ReplyDeleteNatafuta bata wangu....aee wetu hatoki bandani,yule si wako niwa ngu, aee hemu cheki kiunoni, ananitia machungu..ayee basi nenda kituoni! Ha bwana misupu wenda wapi na hilo jisamaki? Naenda zangu dubai, ha ha ha Dubai hawali samaki siku hizi, wala BATA!
ReplyDeleteAnkal misupu, umeskia habari ya Rafa Benitez? Wame m'bandua watu telee!! Basi na wewe ulikuepo! Aa mie ndo nlozibandika tena picha zake!
ReplyDeleteAnkal misupu, wali wa kunde ukitiwa vidole waoza?
Hello Michu,
ReplyDeleteHuyo mdada aliyevaa nguo iko juu kidogo ya magoti, nyekundu, picha za Kalunde ya mwisho, yupo katikati anatisha jamani mie mwenzenu kaniacha hoi...!! Ana umbo zuri la kufa mtu,Miguu husiseme, hata huku Ughaibuni mie sijaona...!!. I wish ningepata opportunity ya kuwasiliana nae wazee.
Dau.
USA.
wadau wa chui-chui inaelekea nyie gym mgogoro na sula la kuwa overweight haliwasumbui maana hizo ni plus sizes. No offence, obesity causes death related conditions such as diabetes, heart diseases and many physical complications.
ReplyDeletepicha ya mwisho ndo kali kupita zote. imekwenda shule c'mchezo teh teh teh teh teh mtaalam kwa kulenga nakuaminia sana babake teh teh teh aaaaaanha!! teh teh teh mwaka nisiponenepa sijui tu teh teh teh teh!!
ReplyDeleteMdau wa pajazzz+titizzz
Kaka 50 wa Lukamba uko juu, wifi langu linajihahidi ile mbaya, kukuweka kakita standard unayostaili; mimi na wajomba zako tunamfagilia sana huyu dada,anakupatia sana kimavazi, halafu mnavyo mechisha sasa mpaka mnaudhi bwana sio siri,kumbe kaka langu wamo, zile rasta mmm ata bwana loo,lakini usinikasirikie, nakupenda, nikija bongo nitakutafuta, mwanaume matunzo bwana sio wanawake tu, wanaostahili kutunzwa jamani, ASANTE WIFI. mdogo wako UK
ReplyDeleteHee? Kumbe Michuzi anavaaga vizuri siku zingine. Safi
ReplyDeleteAnkali usituvunge unakunywa maji ya Uhai, hiyo glass mbele yako mbona haina mwenyewe???
ReplyDeleteNaungana na mdau hapo juu, binti aliyemtaja hata mimi kansisimua maungo yangu haswaa. Duuu, ni bomba sana.
Ankali ujumbe umefika.Picha zooote hizo message ni hiyo totos. Imeenea kusema kweli.