Kutoka kushoto ni Rais Mstaafu awamu ya tatu Benjamin William Mkapa, Rais Mstaafu awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi, Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Amani Abeid Karume, Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Katibu Mkuu wa CCM Yusuf Makamba na Makamu mwenyekiti wa CCM Bara Pius Msekwa

ni sawa lakini ningependa ajitayarishe kwa masuala haya yafuatayo iwapo atafanikiwa kuupata hicho anachokitaka
ReplyDeletea)Jee anaweza kuondosha umaskini miongoni mwa wananchi
b)Jee anawezake kutokomeza rushwa
c)atawezaje kuigeuza mahkama ni nyumba ya haki
d) atawezaje kusimamia haki na usalama wa wananchi ambapo kila siku wananchi wanauliwa barabarani
e)Jee ataweza kutokomeza culture ya wananchi kuwa kuonewa,rusha,kuingia madarakani lazima utoe kitu kigodo ili upite kupata eg ubunge, uwakilishi,etc ni vitu vya lazima na wananchi wenyewe wamejikubalisha waonewe.
f)huduma bora mahospitalini, ufanisi kazini,job creation ili wananchi wapata cha kujishughulisha na kuacha omba omba.
Mi fikra zangu Governmet of unity is nothing kama hakuweza kuwa na mikakati yakuondosha hayo hapo juu.
kwani hayo ndio makero ya wananchi na sio vyenginevo
wako,
mwanaharakati wa maendeleo
Nyerere ni baba wa taifa, na wala si baba wa CCM, na ni matusi makubwa sana kwa baba wa taifa kutumia jina lake kufanyia kampeni za kuendeleza wizi, uhuni, urichmond, ulowasa, ubalali, ubenondulu, uchenge, uEPA na upuuzi mwingine.
ReplyDeleteKila la kheri Kamati Kuu.
ReplyDeleteMaina A Owino.