Katibu wa Kamati ya Madai ya wastaafu wa iliyokuwa Jumuiya ya Afrika Mashariki , Kitengo cha Bandari Said Mikohi (katikati) akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari juu ya uongozi wa Bandari kukwamisha kulipwa kwa mafao yao mpaka sasa kama walivyofanyiwa wenzao. Wengine ni Katibu Msaidizi wa Kamati hiyo Kassim Omary (kushoto) na kulia ni mmoja wa wajumbe Emmanuel Mpoto. Picha na Tiganya Vincent-MAELEZO

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. HADI LEO HAWAJALIPWA!! MWE ZAMBI HIYO. laisi anajuwa hayo au ndo yuko bize na matayalisho ya uchagusi, nziwanyime chao jameni mweem nnungu nkulu mwee

    ReplyDelete
  2. Hawa watu wametuchosha hebu niambiane wanadai kiasi gani niwalipe.

    ReplyDelete
  3. Hii mbinu ya SISIHEMU kupitisha pesa ya uchaguzi huko wanairudia tena . MUNGU WANGU WEEEEEEEEEEEEEEEEE

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...