Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Ha ha haaaaaaaa! Nimeipenda sana hiyo idea imetulia halafu ni ukweli mtupu. Kweli viongozi wetu wanapenda madaraka, jamaa alikuwa kalala miezi kadhaa akiwa hoi kitandani na madaktari wakiwa wamemzunguka masaa 24 sasa kaambiwa ofisi inachukuliwa jamaa ndani ya wiki moja tu kapata nguvu na kurudi home. Kweli ukizoea ving'ora balaa

    Nzagamba

    ReplyDelete
  2. this is cold Gado. funny... but cold

    ReplyDelete
  3. umbea tu,nchi yenu Tz yawashinda

    ReplyDelete
  4. Hii haijakaa sawa kimaadili.Waafrika hatuna desturi ya kutania ugonjwa au mauti.Tuige lakini kuwe na mipaka.Kuna ushahidi kwamba Rais anarudi kukimbilia madaraka?.Inawezekana amerudishwa ili apumzike kwa sababu matibabu hayajabadili hali yake kuwa nzuri au nafuu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...