Home
Unlabelled
MAMBO YA GADO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ha ha haaaaaaaa! Nimeipenda sana hiyo idea imetulia halafu ni ukweli mtupu. Kweli viongozi wetu wanapenda madaraka, jamaa alikuwa kalala miezi kadhaa akiwa hoi kitandani na madaktari wakiwa wamemzunguka masaa 24 sasa kaambiwa ofisi inachukuliwa jamaa ndani ya wiki moja tu kapata nguvu na kurudi home. Kweli ukizoea ving'ora balaa
ReplyDeleteNzagamba
this is cold Gado. funny... but cold
ReplyDeleteumbea tu,nchi yenu Tz yawashinda
ReplyDeleteHii haijakaa sawa kimaadili.Waafrika hatuna desturi ya kutania ugonjwa au mauti.Tuige lakini kuwe na mipaka.Kuna ushahidi kwamba Rais anarudi kukimbilia madaraka?.Inawezekana amerudishwa ili apumzike kwa sababu matibabu hayajabadili hali yake kuwa nzuri au nafuu.
ReplyDelete