Home
Unlabelled
masudi na mai waifu wake wameremeta
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hongereni sana mmependeza na sasa sio wawili tena bali mko mwili mmoja BWANA awabariki sana mdumu hivyo hivyo katika maisha yenu kama ADAMU NA HAWA
ReplyDeleteAtarudi Tu. MZ
ReplyDeleteAsii bwan machudo,akianano unimelimeti!! na nkeo pia anamelimeti!! asii mboni sioni hapu pilao?mi nimizoei pombi aini ya chang'aa sas wewi unamwagichini pombi yot"shampini" unintamanish bure!hap nshalewi tialo kwa pich
ReplyDeleteacha nkuimbie songi bab yao "anipendi vito vya bei ghalo am ajui atmi sina maloo!anniombi vito vya bei ghalo, nikiwi sin ye anijaloo!"
nakufaglii bab umepati jiko la nkaa kabis!! unantii ham namim ntaoa akianano!!
Jamaniiii, kulikoni hio keki? man u hadi kwenye harusi yenu?
ReplyDeleteBitebo - winga machachari wa Pamba? Years have gone by!
ReplyDeleteKeki imeandikwa Manchester Utd? du! Huu ni ushabiki uliopitiliza... raha
ReplyDeleteHarusi hii imefungiwa wapi?
ReplyDeleteMumependeza, hair dresser nambari wani duniani anapatikana wapi?
ReplyDelete(US Blogger)
hiyo ni veil au costume?
ReplyDeleteUkoo mzima vinyozi??
ReplyDeleteHongereni, nyie kweli washabiki damu wa ManU au ni wajukuu wa Fergie.
ReplyDeleteAliyesema "( UKOO MZIMA VINYOZI)" je hiyo sio kaziiiii!!!!, tabia ya kudharau kipato cha watu wengine sio nzuri au kudharau familia za watu. wewe unajiamini lakini mungu akipenda utashuka tuuu ***ACHA MAJIVUNO NA DHARAU**** kila mtu anapenda utajiri na familia iwe tajiri ila yote ni kwa mapenzi ya mungu.
ReplyDeleteKama kuhangaika na kazi na maisha tuu ndio kuwa tajiri basi kila mtu angekuwa tajiri. LAKINI TWAJUA MOLA NAE ANA NAFASI YAKE.
USIDHARAU FAMILIA ZA WATU
si umalizie John mapenzi kwanini unasema John mananihii...
ReplyDeletejamani sasa kama je biharusi ni mshabiki wa bwawa la maini huyu bwana si atakuwa hajamtendea haki mwenzie, au ndio mkioana manakuwa mwili mmoja na kila kitu sare!
ReplyDeletekala nondozzz za nini,,,usilete habari nusu nusu sema nondo yake ipi na kailia wapi??
ReplyDeletemh keki ya ushabiki?ningekuwa b harusi ningekataa kabisaaaaa!km wote ni washabiki poa
08:40:00 AM umenena safi sana
ReplyDeleteme sikumuelewa kabisa uyo annon anayeshangaa kazi za wengine tena za HALALI km kinyozi
awa ndo wale wanaobeba madawa ya kulevya yanayoua watu,,,ndo box zao izo kumbe uko ulaya sijui,,,
heshimuni kazi za watu nyamabaf sana
hongereni saana kwa arusi yenu nzuri saaaana hiyo keki ni bab kuuubwa inanipa full hamasa jana weee sansiroo palichimbika!!!
ReplyDeletemaharusi mmependeza sana - hongereni.
ReplyDeleteNyie mnaomshutumu alieuliza kuwa ukoo mzima vinyozi, ndio mna mawazo finyu!!Nyie ndio mnaoona vinyozi ni kazi duni.
ReplyDeleteWangekuwa woote ni mADACTARI angeweza uliza au vilevile!!
Wapi mmeona katoa comments za dharau?nyie kwa kushangaa kwenu ndio mnadharau hiyo kazi sasa.
Kuna mtu aliwahi uliza humu akina MICHUZI wote ni wapiga picha?
Kwa nini hamkushangaa swali lile?Acheni ujinga!!
Issa hata usipotoa hii comments, lakini ujumbe umefika.
Da! Michuzi umenikumbusha mbali bwana we..kunionyesha mzee mzima(Zembwera) mzee wa mzuzu ! mambo safi jamaa naona bado anaita siyo kama wachezaji wengine wamechoka ile mbaya...
ReplyDeletezembwera ilikuwa ni tishio pale kirumba .......
maisha marefu nakutakia..
Doh huyu mzee mwenye kibaraka shehe kanimaliza kweli kweli au na yeye anamfata Nabii mpya YUDA? MAANA SIJIDA KUBWA KIKOFIA NA POMBE TENA? HUYU LAZIMA NI MFUASI WA NABII MPYA WA BONGO MAANA NABII YUDA NA YEYE ALIKUA AKIPIGA BANGI KAMA KAWAIDA NA KUTANGAZA POMBE SI HARAMU
ReplyDeleteMbona mmetunyima picha za kanisani Jamani?
ReplyDeletejamani naombeni msaada KUMBWAYA NI YULE WA KIBAMBA GOGONI AU MWINGINE? naomba anayejua anipe jibu please. mdau London.
ReplyDeleteHongera bwana Masud, long time man (enzi za Taqwa). Nakutakia maisha marefu.
ReplyDeleteArnold
Tatizo waswahili hamjui maana ya Nembo ya Kuuliza hajasema kwamba watu wenyewe wote vinyozi. KAULIZA swali Familia Wote Vinyozi? Jibu Si Wote au Asilimiak ubwa ndio ni Vinyozi hakusema kama kazi mbaya au nzuri.
ReplyDeleteMdau wa London hujakosea MZEE KUMBWAYA NI YULE WA KIBAMBA GOGONI, binti yake Zabibu ndo ameolewa na Kaka Masoud Bitebo.
ReplyDeleteHongera sana Masud,tumesoma wote Nyamagana enzi za mwalimu Pascal,Seif yuko wapi siku hizi?au ndo huyo aliekuwa best man?ni zaidi ya miaka 15 sasa sura yake inakuja kichwani kwangu na kupotea,hongera sana kaka,Rehema Kilele.
ReplyDelete